Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

Kazi ipo, mtoto ni mtu below 18 yrs, sasa huyo asiyekuwa na akili komavu ndiye anayeingiza watu mabarabarani kweli! Au issue nyingine? Kama ni hiyo basi hicho kikundi kitakuwa na yao wasingizie dini ya watu tu. Hakuna Mungu anayeweza kukubali wendawazimu wanaofanya upumbavu
 
wamtoroshe haraka huyo mtoto kabla hawa mabwana hawajafanya tukio kama inavyotokea nchi za wenzetu. maana huwa hawatazami ni bahati mbaya au lah.
 
Mhhhh!Hawa wenzetu,kila kitu wao.Itabid tume iundwe kuchunguza hili na twaweza ambiwa kuna mkono wa cdm.Mungu tuepushe na haya.Kisima cha aman ck hiz kila baada ya wk mabomu!!Je,tutafika?
Haya ndiyo matunda ya UDINI uliopandwa na JK kwa ajili ya malengo na masilahi binafsi ya kisiasa
 
Hich ndo kizazi chetu "cha bongofleva", mtu kidato cha nne alitakiwa awe na akili ya kufikiria kujali imani za watu wengine. Madhara yake sasa yanaweza yasiishie hapo, hebu tuanze kui-reform jamii yetu (hasahasa katika level ya familia) iwe na heshima kwa kila mtu. Maskini kijana yule!!!! Na lazima ahame Mbagala la sivyo makubwa yatamkuta.
 
Haya ndiyo matunda ya UDINI uliopandwa na JK kwa ajili ya malengo na masilahi binafsi ya kisiasa

unakumbuka kule sumbawanga wakati wa uchaguzi mkuu,kanisa lilipowatenga waumini wake waliokuwa wanachama wa ccm????????? kwamba aliwalazimisha wampigie kura mkristo mwenzao???
 
hapana....hatuendi hivyo....kila mtu ana haki....hatufundishwi katika maandiko kudharaulina....na wala kuingiliana katika imani.....kama ni wakristo wamefanya hivyo....nalaani sana hicho kitendo.....ni wapumbavu.....
Umeambiwa ni miner Preta utaumia bure awe mwislam au mkristo ni watoto walikuwa na udadisi wao, wakikua wataacha!
 
Last edited by a moderator:
Kama kiini cha mtoto kukojolea Quran ni mabishano kati ya watoto wawili wa imani tofauti, sioni logic ya watu wazima na akili zao kupoteza muda. Mmoja alifundishwa kuwa ukikojolea huo msaafu a nakuwa kichaa naye akaamini hivyo, nionavyo mimi tujisahihishe sisi wenyewe kwa kufundisha mambo yasiyokuwa ya kweli maana kama mtoto huyo angeambiwa ukweli wala mabishano yasingelikuwepo na baada ya kuona mwenzie kakojolea huo msaafu na bado hajawa kichaa alienda kule alikofundishwa hivyo ili kujua kwa nini hajawa kichaa, cha kushangaza waliomfundisha huyo mtoto hivyo wanataka kumuua aliyekojolea msaafu, kueni na subira kwa kuwa mafundisho yenu yanaeleza hivyo basi dogo atakuwa chizi soon. Hamna haja ya kukimbizana na kichaa, ni kujidharirisha tu!
 
Duh! sasa hawa nao hawana kazi za kufanya? MBONA WAISLAMU KILA KUKICHA HUWA WANACHOMA NA KUIDHIHAKI BIBLE! na hakuna anayewabeza. mabishano yao ya utoto na ya shule ndio yamezua hayo?
sio hawana kazi za kufanya,hii ndo kazi yao kuwakusanya na kuwadanganya wajinga ili kujipatia kula na umaarufu!dini haiwezi kuwa chanzo cha machafuko abadani,mbona maeneo ya wakristo hakuna fujo?papa akishatoa tamko linaheshimiwa na wakatoliki wote ila wao wako busy kutaka kulipiza visasi hata kwa watoto!wanasahau kuwa watoto ni malaika wa bwana,yeye mwenyewe anakuambia waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa mbingu ni wao.wao wanataka kusumbua huyu kijna wa watu buuure
 
Mleta mada wacha uwongo sio mtoto alie kojolea ila nimtu mzima, tukio lenyewe ilikuwa jana Usiku. Kabla mtuhumiwa hakupewa adhabu na waislam gari la Polisi likamtorosha.

Inaonekana kabisa ni tukio lilopangwa.

Kwaida kwa kosa kama hilo Mkuu Waislamu hutoa adhabu gani?
 
Serikali imezidi kuwabeba baadhi ya waislam. JK inaonekana anawalea. Nchi inakosa utawala kwa sababu ya hili kundi ambalo linaharibu Imani ya Kiislam na kuona waislam ni watu wa fujo, watu wasio na uvumilivu.
Sensa wameigomea. Serikali inaingilia uhuru wa mahakama na kuagiza waachiwe. Haya JK endelea kuwabeba Waislam wenzako.
Serikali dhaifu.
Waislam wanataka kumuua mtoto mdogo. Malaika huyu. Waislam wanaamini kwa kumuua huyu mtoto wataenda ahera. Ahera hiyo ni ,moto wa milele. Aaaaaagh
 
ilikuwaje mpaka mtoto akojolee msahafu.....?

soma post zilizotangulia؛‎ hapa inaonesha vitisho vya mtoto wa kiislam kuwa ukikojolea msahafu unakuwa chizi ndiyo chanzo cha tatizo, tusubiri tuone
 
daaaaaaaah ni upuuz kushabikia vitendo visivyo vya kiungwana hata kidogo
 
Back
Top Bottom