chanzo ni mbunge wenu wa mbeya sugu.
Katika watu wasiokuwa na nidhamu na wanaongozwa na jazba ni ndungai..huyu mtu anaonekana anakunywa pombe kali sana,sasa matatizo yake ya nyumbani anayaleta bungeni..hv ile jana angempa kub dakika mbili tu then kumsikiliza ingempunguzia nini..haya masifa anayotafuta huyu ndungai ni ya nini? Mtu mwenyewe inaonekani ana hangover 24hrs.
Bunge linaendesha na sheria na kanuni haliendeshwi kama disco.
Tatizo kubwa la Mbowe ni elimu hauwezi kuwaongoza watu wakati hauna elimu.
Akili ndogo kuongoza akili kubwa.
sana sana ndugai anatudhalilisha sisi wagogo wenzake
Sikubaliani na mleta mada kwenye hili la kumuita NS dikteta. Kama kweli hoja yako ina mashiko, hilo la kuhusu udikteta, basi malalamiko yangetolewa na wabunge wapinzani wengi pale bungeni juu ya mwenendo wa bwana Job Ndungai kuhusu namna ambavyo anaendesha bunge. Lakini jambo la kushangaza ni kuona kijikundi kidogo cha wabunge ndicho chenye fujo, ukaidi na kibuli katika kutii kanuni za bunge. Hivyo mleta mada uchambuzi wako kwenye hili ni mwepesi mno kukufanya uhitimishe kuwa Job Ndungai ni dikteta.

Mh Mbowe alikiuka kanuni ipiBunge HALIENDESHWI kwa matakwa ya Mbowe au mbunge mwingine yeyote. Bunge huendeshwa kwa kanuni za bunge na ni wajibu kwa wabunge kutii kanuni hizo.
ndugai waukweli sana tu! Big up! Endelea ivo ivo ikiwezekana askal wa bunge wawe na mabom ya machozi na maji ya kuwasha ili kuzima vurugu zote za wapinga mada! Shenzi!!!!!