Vurugu za Hai, kuchomwa moto ofisi za CHADEMA Arusha na uasi uliobalehe na kukomaa ndani ya CHADEMA

Lisu haeleweki hapo kabla alikuwa anapinga mikataba ya madini kwa madai haina tija kwa taifa, kama mnakumbuka wakati akiwa TLP yeye Lisu na Mrema walishtakiwa kwa uchochezi kutokana na kupinga uwekezaji wa Barick kule Bulyanhulu (kulikuwa na madai ya kuwa Barick na Accasia wamewahamisha watu zaidi ya 200 kwenye maeneo yenye madini bila fidia na waliogoma walifukiwa),hapo ndo Lisu alipata umaarufu,

lakini Jembe John Pombe Magufuli alivyoingia madarakani na kuanza kufanyia kazi marekebisho ya mikataba ya Madini Lisu na wahuni wenzie wamekuwa wakwanza kumponda,kumpinga na kumtisha Joh Pombe Magufuli kuwa nchi itashtakiwa,uzuri John Pombe Magufuli hatishiki,

Lissu na wahuni wenzie wakaendelesa propaganda,ooh John Pombe Magufuli anawatisha wawekezaji wa Madini! Sasa hapa ndipo tulipoanza kuona huyu mtu hatusafiri kwenye boti moja,kama Lisu angekuwa kweli anataka kuyaenzi yote ya nyuma aliyokuwa anayapigia kelele basi angejiunga na John Pombe Magufuli kupigania mikataba mipya yenye tija kwa Taifa lakini cha ajabu,Lissu akajiunga na acacia kuishtaki Serikali eti inawaonea wawekezaji hao!!!?

Binafsi lisu na genge lake siwaelewi wapo upande upi? Upande wa kupiga kelele ili apewe hela na wawekezaji uwasaliti Wananchi au upande wa Uzalendo kusimamia maslahi mapana ya Taifa la Tanzania na Wananchi wake,

Kwa ujumla Lisu hatufai hata jimboni kwake hamna alichofanya,hakuna hata Dispensary, kupata maji salama ni ndoto,barabara ndo dah lami hadi uende singida mjini,akiwa bungeni ni kama Mbowe, Lema,Kubenea,Msigwa,Mnyika huwezi wasikia wanazungumzia matatizo ya wananchi majimboni mwao,wao wapo kimaslahi zaidi kutetea maslahi ya mabeberu waliowatuma na yao(Siasa za hivyo hazina maana tena),

#Kaziiendelee
#JPM Mitano tena.
#JPM atosha.
Huna lolote utumbo mtupu....mnafikiri wote wajinga kuamini huu upuuzi
 
VURUGU ZA HAI, KUCHOMWA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA NA UASI ULIOBALEHE NA KUKOMAA NDANI YA CHADEMA

Leo 12:15hrs 15/08/2020

Mwaka 2015 Lissu alisoma mashtaka ya kumfukuza CHADEMA aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, ndugu Zitto, mashtaka hayo yalikuwa ndio hitimisho la shutuma za muda mrefu toka 2012 juu ya Zitto kuwa msaliti ndani ya CHADEMA na aliyekuwa na uasi wake na washirika wake waliokuwa wakigomesha mambo mengi na kufanya uasi ndani ya CHADEMA.

Matukio mengi kuhusu CHADEMA ni matokeo ya kubalehe kwa uasi ndani ya Chadema kama wanavyoelezea Ben Saanane na Exaud Mamuya katika Uzi wa JamiiForum wa tarehe 19/12/2012 uliobeba kichwa cha habari "Tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya" wakati huo Zitto akiwa Naibu katibu Mkuu wa Chadema,Uzi huo ulibeba uasi wote uliokuwa ukifanyika ndani ya Chadema.

Chadema sasa wameanza kuratibu matukio wao wenyewe kwa ajili ya kuanza kuendea ajenda yao ya kuonewa eti wanaitetemesha Tanzania hadi wanaonewa na kupeleka habari kwa mabwana zao wazungu ambao wanataka kuharibu amani iliyopo Tanzania hivi sasa,ha ha ha Chadema pumzi imekata.

Bahati mzuri ukitaka kuona wapumbavu nenda CHADEMA ,Ukitaka kuona vibaraka wa wazungu nenda Chadema,Ukitaka kumwona shetani kwa macho makavu nenda chadema,huwa wanafanya vikao pamoja na Viongozi wa Chadema na juzi kawaambia wasimuachie Mungu Ila wamuachie yeye shetani.

Watanzania naomba mrejee Uzi wa tarehe 19/12/2012 katika Mtandao wa Jamii Forum uliohusu mipango ovu iliyokuwa inafanywa ndani ya Chadema wao kwa wao kabla ya kuhamishia mipango hiyo nje ya Chadema na kuisingizia Serikali,wakati huo Zitto akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema,waandishi wa Uzi huo ni Ben Saanane na Exaud Mamuya ambao waliweka wazi kila uovu uliokuwa ukifanyika ndani ya Chadema na nitanukuu nikirejea Uzi huo ulikwenda kwa jina la "Tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya" thread starter ni Ben Saanane Start date Dec 19, 2012.

- Rejea nukuu ya Ben Saanane katika thread ya "Tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya".

Ben Saanane anamwambia Zitto,Kazi hii ya kuzusha tuhuma kwa mtu ambaye tunaona anatuvurugia malengo yetu tuliifanya sana na ninaijua kaka! Mmesahau tumekuwa tukifanya jitihada za kumtenganisha mwenyekiti na Katibu mkuu kwanza ili tuweze kuwashinda kwa pamoja? Hili unalijua moyoni mwako . Sasa naomba kama hutanithibitishia tuhuma hizi nitaomba kwa kuwa wewe ni kiongozi wa chama kikao kiitishwe na nitamwaga yote huko.

Kama hutafanya hivyo, mimi nitaandika Barua kwa katibu mkuu ili uje unithibitishie tuhuma hizi pamoja na kundi zima la ‘Masalia'. Sitaogopa chochote na nipo tayari kwa lolote kwa kuusema ukweli. Sikutaka kujibu thread hii lakini tuhuma za kutaka kuuana ni serious allegations kwa kuwa zinahusu maisha ya mtu,mfanye mipango yenu halafu mje kunisingizia Mimi kwa kuwa sikula kiapo pamoja nanyi kwa mganga wa kienyeji.

Pia, vitisho vya kuaga kwenu havinihusu na wala havinitishi. Siamini kama ushirikina una nguvu kwangu na hilo unalijua na kundi lote la masalia linajua ndiyo maana ilishindikana mimi kwenda kula viapo kwa mganga wa kienyeji na unakumbuka vizuri! (Ati kula kiapo kwa kundi la masalia ili tusisalitiane katika kazi ya kukihujuma chama chetu). Afadhali Shonza na rafiki yangu Mwakajila waliniunga mkono katika kukataa hili. Ninaye Mungu anayenipigania na sitaogopa vitisho vyovyote. Mnanifahamu kwa hili, I dare you to challenge me! Twende kwenye vikao.

Zitto sishangazwi na kauli yako kwamba hunifahamu Mimi Ben Saanane,huu ni muendelezo wa siasa zile zile za kutosimamia ukweli na kuendekeza siasa za uongo na upotoshaji. Nimemkumbuka Mwanasiasa Mzee Wassira (Aliyekitabiria Chadema kwamba kitasambaratika) aliposimama na kumkana Mwanafamilia wake mbele ya vyombo vya habari kwa sababu ya siasa na katika mkakati wa kuendeleza ghiliba. Kama mwanasiasa wa Tanzania anaweza kumkana hata mwanafamilia au kusema chochote hakuna la kushangaza.

Sasa, kwa kuwa ushahidi ninao wa jinsi tunavyofahamina na jinsi tulivyoshirikiana kuwashughulikia viongozi wa juu wa chama pamoja na uhusika wetu katika hujuma dhidi ya chama nitaomba chama changu sasa kiitishe kikao cha dharura ili nimwage mambo yote nyeti na ushahidi nilio nao ndani ya vikao. Naamini katika vikao kwa kuwa ili Chadema ikue lazima mambo haya nyeti nikayazungumze kwenye kikao.

- Rejea nukuu ya Exaud Mamuya kwenye uzi huo huo Jamii forum uliosema "Tuhuma za Zitto na kundi lake toka kwa Mamuya".

Mamuya anamwambia Zitto ulichokifanya hapa ni kujaribu kuwaonyesha wana jamvi ya kuwa hatufahamiani na kuonyesha ya kwamba tunatumika na baadhi ya watu flani kama mara zote mnapoisingizia Serikali pasipo kujibu hoja ya msingi ya kwamba wewe Zitto ni mfadhili wa kikundi cha waasi wa Chadema.

Bwana Zitto labda nikukumbushe na nadhani utakuwa unakumbuka vizuri siku ambayo tulikuwa wote pale Mount Meru Hotel Arusha pamoja na Ruge wa Clouse Radio na Shyrose katika harakati hizi hizi na baada ya kuachana mlielekea Naura Sping Hotel kwa ajili ya tamasha la miss Arusha na baada ya pale tulipanga kukutana lakini ulipokuja kuniuliza niko wapi nilikwambia niko Tripple A Club.

Uliogopa kuja ukaniambia umechoka unaenda kupumzika so tuonane kesho yake lakini kesho yake hatukutafutana tena. Sasa unaposema hunifahamu mimi nakushangaa sana kamanda Zitto,Wewe ni muongo sana unapozungumza mbele ya Watanzania,unaweza kudanganya mchana kweupe ila kwa mtu mwenye taarifa nyingi daima atakwambia wewe ni muongo mkubwa uzungumzae uwongo bila soni,

Bwana Zitto ikumbukwe vizuri ya kwamba wewe ndo uliyekuwa ukichochea mgogoro wa Madiwani kwa lengo la kumdhoofisha Mh lema kisiasa na mipango na mikakati yote ilikuwa ikifanywa baina yangu mimi, wewe na Dr pamoja na madiwani waliofukuzwa Chadema.

Kitu ambacho Chadema hawapendi kusikia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi,Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa,Lakini kile kikundi kinachomlinda Lissu na kuua mtu jana eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki makamanda wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi mabwege sana ninyi Chadema,

Ebu jiulize chadema wana habari kuwa watafanyiwa fujo jimboni Hai, kabla hawajaenda Hai, Chadema Wana habari watachomewa ofisi Arusha halafu wanachomewa kweli,tena wanasema wamechomewa Office yao ya Kanda,Je hii sio wao Chadema wamepanga!?Maswali: kama walikuwa na habari ya fujo, mbona wasipeleke taarifa na mashtaka yao polisi,Pili,Ofisi nzima ya kanda haina walinzi hata baada ya kupata taarifa kuwa watachomewa ofisi!Tatu,kwanini matukio yote haya yatokee kanda hii tena Arusha mjini na jimboni Hai, kwanini isitokee Dodoma,Singida,Shinyanga, Musoma !?Chadema hii michezo yenu ni ya kizamani imeshapitwa na wakati.

Chadema wamekuwa kama Marekani kipindi walipoishambulia Meli yao iliyokuwa pwani ya Gereza la Guantanamo halafu wakamsingizia Fidel Castro na Cuba yake,Wafanye Chadema halafu wawasingizie Sabaya na CCM,Daah mmetufikisha pabaya nyinyi Chadema looh hatareee,Mabeberu ni watu wabaya sana wamemtuma Lissu aje kuiharibu Tanzania...

Tanzania ni kisiwa cha amani,Msumbiji kimewaka,wale magaidi waliofurumushwa kule kibiti na kujikita Mosimboa Da Praia jimboni Cabo Delgado,Masalia yao yamebaki kwa mfano wa Lissu ndani ya Chadema, Yameanza kuichafua Serikali ya CCM ionekane inawashambulia wapinzani,this is totally ridiculous!!!

Nimalizie kwako bwana Zitto,Mwaka 2014 ulitangaza kugombea Urais kupitia Chadema ukijiona wewe ndio the best na ulistahili kukalia drivers seat lakini ulifukuzwa Chadema kwa makosa kibao ya uasi,ukipata kutoa ile kauli ya kuwa "umeaga" na ukiguswa tuu "hata panya hatabaki!",

Niseme ule ni mkwala mbuzi tuu! maana Lissu alikufukuza kwa hoja nzito na leo mmeungana ha ha ha,it's ridiculous,ok,sipingi mila unaweza kuendelea tu kutumia "mila na utamaduni wako" kujilinda binafsi na kama unakusaidia,ila kumbuka Lissu alikufukuza Chadema na ukaapa wewe ni mbegu inayokwenda kupandwa na kuzaa lakini umeacha majanga ya uasi ndani ya Chadema.

Nikiishia hapa,Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master's in Leadership and Management.

-Research; Assessing Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Stupid
 
Nilichoweza kuona ni hiyo elimu yako ambayo haikusaidii kitu, bora wazazi wako wangefuga ng'ombe kuliko kupoteza ada zao
 
Chakunanga, walikukumbuka ata ukuu WA wilaya?!!

Au bado unafanya research kwanini wauza magenge ni ma defaulters?
 
Hii nchi ilipitia mengi sana. Imagine huyu nae anajiita msomi
 
Back
Top Bottom