Vurugu za Arusha zakatisha safari za watalii kuja Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu za Arusha zakatisha safari za watalii kuja Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Elizaa, Jan 6, 2011.

 1. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nipo hapa Kenya nafanya kazi kwenye hotel ya kitalii iliyopo Mombasa, wageni kutoka hapa walikuwa waende Mbuga za wanyama za Manyara tarangire na Serengeti wamekatisha safari zao baada ya kutaadharishwa kuwa hali ya usalama siyo nzuri nchini Tanzania

  Hivi Kesho wanaondoka kwenda mbuga za Tsavo na baadae Mount Kenya.

  Source Mimi Mwenyewe Manager hapa Kwa Hotel.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  waambie serikali ya mafisadi imesema itasuruhisha mgogoro kati ya CDM na CCM....na hatuna shidana wageni tuna shida na mafisadi na mali zao , hivyo wao waje tu
   
 3. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh! Tatizo liko hapo na wengi wameahirisha safari zao. Hata hapa Hong Kong nimeona watu wanaahirisha safari za kuja Tanzania kufuatana na hizo vurugu zilizosababishwa na Polisi.
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,082
  Likes Received: 4,031
  Trophy Points: 280
  hapo jamaa wa Kenya wanavyokuwa fast ku-cash on that incidence...itakuwa kisingizio
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Very sorry!
   
Loading...