Vurugu Umbwe-Lyamungo: Miaka 12 baadae

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
593
1,000
stupid lyamungo akuna aliyekufa ww ulisimuliwa nn?
Mimi sio mtoto kama wewe, sio mpelekeshwaji kama ww, sio mshindani kama wewe, sina bangi za lyamungo kama hata miaka 12 iliyopita

Aliyezungushiwa nyaya alifariki ..na viongoz walienda msiba.

Si unataka kushindana na roho ya mauti, endelea kubisha. Reply chochote unachotaka bumunda ww.
 
shakur kimboka

JF-Expert Member
May 11, 2013
204
500
Mimi sio mtoto kama wewe, sio mpelekeshwaji kama ww, sio mshindani kama wewe, sina bangi za lyamungo kama hata miaka 12 iliyopita

Aliyezungushiwa nyaya alifariki ..na viongoz walienda msiba.

Si unataka kushindana na roho ya mauti, endelea kubisha. Reply chochote unachotaka bumunda ww.
Haha

Acha kulialia na kuleta hisia kama mtoto wa kike, thus is manhood mwanaume lazma uwe na dark side katika ukuwaji wako (from boys to men) na kikubwa nikujua jinsi ya kuji control mwenyewe mbeleni, huwezi ukaishi ki slope tu kama demu eti tukio lililotokea 12 yrs ago liku hunt hadi leo, bro upo serious?

Nyie hamkuwa na umoja mkakimbia na kumuacha mwenzenu, nae alifanya mistake ilo cost maisha yake kutotii matakwa katika himaya ya watu unachotakiwa kukubali ni kwamba Lyamungo walifanye self defense

Na hiyo kusema kuna mtu alikufa lymungo halafu hakuna hata jina lake wala makumbusho take kama ilivyo kwa Ayubu ni stori za nyie kwa nyie kujifariji
 
kindikinyer leborosier

JF-Expert Member
Jan 6, 2018
288
500
Hii imenisisimua, walikua zaidi ya magaidi haki
ah sio poa, mama sasa alivyokua analia, dogo alikua anaitwa Ayubu, mama aliletwa na defender ya magereza Karanga, gari lipo speed imewasha taa, ametua tuu pale mama ni mayowe, "uuwih mwanangu Ayubu, mbona wenzako waliweza kukimbia, tuseme wewe ndo ulishindwa kukimbia kati ya hawa wote?" hapo tupo Parade tunamsikiliza RPC na mkuu wa wilaya, huku ugeni wa waziri wa elimu ukiwa njiani.
.
.
aisee na ubishi wangu mimi na wa jamaa mmoja hivi kiranja wa ulinzi, tulilia!! yaan tulijiona na hatia, maneno yale yameshindwa kutoka kichwani miaka 12 sasa, hizi ni story tuu, ila ungetazama tukio ungeshangaa, hizi roho madogo wametolea wapi,
.
.
asubuhi watu wamefunga mashati kama kundi la kigaidi la alqaeda, wanasalimiana kwa lugha za Code kama majasusi, saa kumi usiku kibosho na zile kahawa ni giza, tunakutana na kina mama wa kibosho wanatulilia, jamani wanangu rudini, mmezaliwa na wanawake kama sisi, msiende! hakuna anaelewa!!
 
Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
593
1,000
Haha

Acha kulialia na kuleta hisia kama mtoto wa kike, thus is manhood mwanaume lazma uwe na dark side katika ukuwaji wako (from boys to men) na kikubwa nikujua jinsi ya kuji control mwenyewe mbeleni, huwezi ukaishi ki slope tu kama demu eti tukio lililotokea 12 yrs ago liku hunt hadi leo, bro upo serious?

Nyie hamkuwa na umoja mkakimbia na kumuacha mwenzenu, nae alifanya mistake ilo cost maisha yake kutotii matakwa katika himaya ya watu unachotakiwa kukubali ni kwamba Lyamungo walifanye self defense

Na hiyo kusema kuna mtu alikufa lymungo halafu hakuna hata jina lake wala makumbusho take kama ilivyo kwa Ayubu ni stori za nyie kwa nyie kujifariji
Wewe ni kichaa, malaya wa vurugu, na bado una ushindani wa kitoto kama vile bwana yako ndie aliekufa siku ile.

After 12 years hakuna ulichobadilika, umebakia bangi kichwani za uboizini, sawa nahisia kama demu ..lakin ambae ana hisia kama zangu baada ya miaka 12 juu ya vile vifo basi atakuwa ni mtu mzima na mwenye humanity.

Lakini kwa mjinga kama ww unamdhihaki ayubu eti kisa ni upande wetu basi inaonesha ni jinsi gani ulivyoshetani na bado maisha yako yamejawa na ukatili.

Miaka 12 baadae mtu mzima kama mimi nifeki death ili nipate tuzo gani humu, ili historia ibadilike.

Unaandika utumbo kama huu bila kufikiria upande mwingine hata wa familia ya ayubu, unasifia ujinga tulioufanya miaka hio, alafu unadhania wewe uko mentally fit..wewe leo unafamilia alafu unaona mwanao aameuliwa alafu unasoma coment ya utumbo kama wako
 
Msangarufu

JF-Expert Member
Sep 18, 2018
1,647
2,000

tulia mzee
 
Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
593
1,000

Nimekuwa nikisikiliza hii track ya dre na snoop na nate dogg - lil ghetto boy, na mara nyingi huwa na refference ile ishu na hii nyimbo.

Coz mara nyingi tunafanya decisions mbaya za maisha tukiwa vijana wadogo ila baadae zile decisions zinakuja kutu-haunt ukubwani.

Kama mimi naumia kutokana na ile vurugu na maafa ,Hivi unadhania je wale waliohusika na kuwashambulia wale marehemu hadi mauti, kwa sasa wana remorse ya aina gani.

"Whatchu gonna do when you grow up, have to face responsibilities"
 
miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,463
2,000
Ila kwanini hizi shule za kilimanjaro miaka ya 80s-90s na early 2000s walikua wanapenda hivi fujo?

Yaan ukikaa hivi ni kili boys, mara sijui kibohehe, sijui nn mara umbwe, sijuu lyamungo etc.

Nina wajomba zangu kama 6 hv kwa memmories miaka ya 90s wakiwa hapo kilimanjaro boys yaan walikua ni matatizo. Wasiende kucheza match aisee na shule yoyote na hilo lilori lao.. ni chaos kila mahali. Wale wajomba nilikua nashangaa ni shule gani hizo uniform zao eti wameprint sura zao. Yaani wooteee... sijui na wao walikua genge la wahuni ama ni nn.
Walimuendesha kweli padre komu.. yaan walikuja iwezea ile.shule baada ya kuondoa boys tupu ikawa day tena mixture. Daily home wageni wa kili boys munawaona halaf later taarifa za uhalifu.

Ila umbwe na lyamungo its very touching. Umenifanya nijisikie na mm niko haunted as if nilisoma kwa wanaume hapo aisee
 
Msemaji_

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
436
500
Lakini waliokosea ni umbwe kuwafata lyamungo ilhali wangetulia sidhanj kama yangetokea hayo kwa jamaa. Kilichomuua jamaa ni kubaki kuendelea kuharibu mali.
Hapana nasikia yule jamaa alikuwa ni form five huko umbwe hivyo wakati wa mapigano alikuwa amejificha kwenye nyumba ya mwalimu kwa bahati mbaya alikuwa amevaa sweta na suruali ya umbwe si unajua tena form five

Sasa wakati hali imetulia kumekuwa shwari si ikambidi atone ili arudi shuleni kwao ndio akapita uwanjani na vijana wakamuona na uniform zake

Na ndio ukawa mwisho wake
 
Mlolongo

JF-Expert Member
Jul 4, 2019
1,771
2,000
Wewe ni kichaa, malaya wa vurugu, na bado una ushindani wa kitoto kama vile bwana yako ndie aliekufa siku ile.

After 12 years hakuna ulichobadilika, umebakia bangi kichwani za uboizini, sawa nahisia kama demu ..lakin ambae ana hisia kama zangu baada ya miaka 12 juu ya vile vifo basi atakuwa ni mtu mzima na mwenye humanity.

Lakini kwa mjinga kama ww unamdhihaki ayubu eti kisa ni upande wetu basi inaonesha ni jinsi gani ulivyoshetani na bado maisha yako yamejawa na ukatili.

Miaka 12 baadae mtu mzima kama mimi nifeki death ili nipate tuzo gani humu, ili historia ibadilike.

Unaandika utumbo kama huu bila kufikiria upande mwingine hata wa familia ya ayubu, unasifia ujinga tulioufanya miaka hio, alafu unadhania wewe uko mentally fit..wewe leo unafamilia alafu unaona mwanao aameuliwa alafu unasoma coment ya utumbo kama wako
Wewe nae hebu punguza basi hizo ashki za udemu demu... Unakera aisee.
Be like a man dude.
 
sinamvuto

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
459
1,000
Aiseee!! lyamungo niliyosoma mimi 2005 rudi nyuma,ilikuwa ya watulivu japo imejaa wavuta bangi kule shamba la kahawa( research) na wapiga chuma(gym) pale dom la lumumba kwa chini.Tulikuwa chini ya mkuu wa shule wa kuitwa burreta,mkuu wa shule alikuwa mbabe sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom