Vurugu: Mkutano wa Mbowe wavamiwa Hai, Green Guard na OCD wahusishwa

Halafu unaona wengine wakicheka na Magufuli nyumbani kwake...ni wakati wapinzani mumfungie vioo Magufuli..he is just playing you guys
Wewe mwenyewe unashindwa kutomtaja kila siku unahisi hao wapinzani wataweza?

Magufuli kama maji usipo kunywa, utaoga, utafulia etc.
 
Hlf watt wao wale wapi tna naomba ni tumie nafasi hii kumuomba Mh Rais tunaumia sna wananchi wake km kweli tatizo ni hao wanasiasa njaa na afute tu vyama vyote ibaki CCM samahani sna ndugu zangu ila rudia tna kauli ya Mh Alhaj Maalim Seif Sharif Ahmad labda kidogo mtaweza kunielewa...
Halafu unaona wengine wakicheka na Magufuli nyumbani kwake...ni wakati wapinzani mumfungie vioo Magufuli..he is just playing you guys

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unaona wengine wakicheka na Magufuli nyumbani kwake...ni wakati wapinzani mumfungie vioo Magufuli..he is just playing you guys
Screenshot_20200303-141241-picsay.jpeg
 
Back
Top Bottom