Elections 2010 Vurugu Mbeya Shule ya Loleza sekondari yachomwa moto

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Katika vurugu zilizo tapakaa mji wa mbeya sasa ivi. Shule xa wasichana Loleza imechomwa moto. Mji mzima umechafuka vikosi vyote vya usalama vya mwagwa mitaan
 
Hiyo sio hali nzuri ila hawa ccm wanachokoza watu alafu wanataka kusingizia upinzani. Haiwezekani majimbo ya mbali matokeo yametoka mijini mpaka kutoana damu. Why???????? CCM why??????????
 
Safi kabisa ndo wanayoyataka CCM

Ndugu yangu !!!
Pamoja na kuwa watu hawajatendewa haki.... unasahau kwamba hapo shuleni kuna watotot zetu na wadogo zenu wanasoma huko. Huwezi kushangilia kitendo kinachohatarisha maisha ya watoto kwa sababu za kisiasa!!
Im very much dissapointed in you!!
 
Taarifa sio sahihi ya kuwa shule imechomwa moto. Moto unawaka msitu uliokaribu na shule upande wa mlima loleza/mlima mbeya. Wanafunzi wa bweni lililo upande wa msitu wamehamishwa kwa tahadhari tu. Zimamoto wanaendelea kuudhibiti.

Hali ya vurugu ni mbaya mno, sijui serikali inataka nini kitokee mbeya?
 
Hiyo sio hali nzuri ila hawa ccm wanachokoza watu alafu wanataka kusingizia upinzani. Haiwezekani majimbo ya mbali matokeo yametoka mijini mpaka kutoana damu. Why???????? CCM why??????????

Umhimu wa Dr, slaa unaonekana sasa kuwa katiba yetu ibadilike, CCM ni nec na wanafanya kazi moja ya wizi
Jamani CCM acheni mara moja kuwajaribu watu!
Watoto hao roho zao zi juu yao na lzima walipe
 
CCM inachosahau ni Kwamba walipiga Kura wengi mwaka huu ni Vijana ambao hawana Kazi za Kueleweka, yaani they have nothing to Loose and they are ready to die to defend their right
 
Tooooooooooooooooo sad. Watu wawe na subira. Hasira hasara. Kuchoma sekondari hakuna maana yoyote maana wanaweza kuwaua wanafunzi wasio na hatia na kama kuna wenye miaka 18 na zaidi naamini wamechagua mabadiliko.
 
Hakuna haja ya kuchoma moto shule ya watoto wao,mi ni mwanachadema ila hao wenzangu hawajafanya fair
 
Ha ha Ha CCM wako Tayari Damu za watu Zimwagike Lakini Mpesya aende Bungeni ili Mkurugenzi Amfurahishe Mteule wake ( Rais) kwa Kufanya Kazi nzuri ya Ku li retain Jimbo
 
duuh...vurugu za nini tena huko mbeya? Nani kashinda kwani kati ya chadema na ccm nafasi ya ubunge?
 
acha wachome tu tena wamchome msimamizi wa uchaguzi wa jimbo maana ndo mamluki huyoo. mkamateni mmtie adabu.. ni ujinga kutunza upuuzi kaka huu,choma woteeeeeeeeeeeee
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom