Vurugu Mbeya: Askari mmoja auwawa

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Mjini Mbeya matukio ya upigaji Nondo yameibuka tena, askari wawili wa FFU wamepigwa nondo na mmoja amefariki dunia na mwingine yupo hospitali.

Sasa ni mshikemshike maana shughuli zote za maendeleo saa tatu zinafungwa maana amani imepotea
 
Usalama kwa wakazi wa mbeya umepotea tena baada ya kuibuka kwa kasi tena matukio ya upigaji nondo mjini hapa mana kuna polisi wawili wa kikosi cha kuzuia fujo kupigwa ambapo mmoja kati yao amefaliki dunia na mwingine yupo hospitali anauguza majeleha.Pia shughuli za biashala mfn bar,viduka vya manyumbani,gest nk zimedolola mana ikishafika satatu badhi ya mitaa huwezi pita.hi ndiyo mbeya ya majanga
 
Huu ni ushirikina tu,ilivuma sana 2006.wakati mwakipesile anaingia,na sasa anaondoka!
 
duh vipi jamaa wenye vipara bado hawajaanza kushughulikiwa?
 
vipi wachuna ngozi huko hususan kule kwetu Vwawa na tunduma mpaka chanzamba.
 
Hiyo ni changamoto mpya kwa Abbas Kandoro mkuu wa mkoa wa Mbeya. Mwili wa askari huyo nimeuona picha yake ukiagwa kupitia globarpublishers
 
Mjini Mbeya matukio ya upigaji Nondo yameibuka tena, askari wawili wa FFU wamepigwa nondo na mmoja amefariki dunia na mwingine yupo hospitali.

Sasa ni mshikemshike maana shughuli zote za maendeleo saa tatu zinafungwa maana amani imepotea

home sweet home
 
Mbeya ni mkoa wa vituko tu. Wakati nafika mbeya kwa mara ya kwanza 1984 nilikutana na habari za kuwepo watu walioitwa wachanjaji na inasemekana walikuwa wametokea malawi. Imani iliyokuwepo ni kuwa hao wachanjaji nyakati za usiku wanapita kwenye nyumba za watu na kimazingara hutumia kitu chenye ncha kali kuchanja ukuta wa nyumba au chumba husika na waliomo ndani wakiamka asubuhi wanakutwa ma mikwaruzo. Kwa hiyo watu wengi walipigwa na kuuwawa pindi mtu akipiga yowe kuna mchanjaji sehemu fulani. Kosa usionekane umebeba kibegi kama wale wanaobeba mikoba ya laptop wangemalizwa....mji ulijaa hofu na watu wengine walijikuta wanakesha usiku wamesimama kama walinzi wanakimbia vitanda.
 
Tunaomba selikali iludishe ulinzi wa sungusungu mana tuendako sasa usalama unatoweka mwisho watanza kuja majumbani.tatizo ni lushwa mana wakipelekwa asubuh kituoni jiön wameshatoka.
 
Nyie wenyewd mmechagua kuishi maisha hayo. Tulieni kama mnanyolewa.
 
tunaomba selikali iludishe ulinzi wa sungusungu mana tuendako sasa usalama unatoweka mwisho watanza kuja majumbani.tatizo ni lushwa mana wakipelekwa asubuh kituoni jiön wameshatoka.
vijana hawana ajira bana
 
Geshi la Polisi Lipo kikazi kweli ?,habari za kiintelijensia hamna,utafiti hamna...GOD bless Tanzania. Hili tatizo liko ndani ya uwezo wa kamanda wa mkoa(RPC)Akiamua kufanya kazi aliyoomba ya kulinda raia na mali zao unless yeye mwenyewe ndiye anayewatuma,haiingii akili jeshi la polisi na nyenzo na rasimali watu iliyonayo wanashindwa kubuni mpango mkakati wa kukomesha vitendo hivyo.SHAME ON GESHI LA POLISI...
 
Mbeya ina ma2kio ya ajabu ajabu, mara kuchunwa ngozi, mara cjui nini, haya kupigana nondo, looo 2ombee Mungu tuu
 
Nunueni helmenti za pikipiki ikifika jioni mnazivaa,poleni sana ndugu zangu.
 
My lovely city Mbeya kila tukio ni la Kwako it pains me a lot, may God intervene the situation! Poleni sana ndg zangu kwa kuishi maisha ya hofu every now and then!
 
Jmani huku mby ni balaa nw imeibuka kwamba ukikuta pesa kama elfu kumi ukiokota unageuka ng'ombe na wanakufunga na kukuchinja.
 
Siyo siri umeniboa uliposema vurugu nikadhani kweli kuna vurugu imetokea sehemu fulani kumbe ishu ya nondo ! Kuhusu askari kupigwa nondo na kufa mbona ilisha ripotiwa au umesikia leo ?
 
Back
Top Bottom