Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,179
- 3,539
vurugu kubwa zimeibuka ndani ya kanisa la morovian jimbo la kinondoni baina ya waumini na baadhi ya viongozi wa juu wa kanisa wa kanisa hiloo. Vurugu hizo zilitokea kati ya kundi linalomuunga mkono uteuzi wa mchungaji huyo wa jimbo na kundi linalopinga uteuzi wa mchungaji james mwakalile,
chanzo cha vurugu hizoo zinasemekana ni kundi kubwa la waumini na baadhi ya viongozi wa kanisa kupinga uteuzi wa mchungaji james mwakalile, aidha katika vurugu hizoo baadhi ya mali za kanisa ziliweza kuharibiwa kualibiwaa . Vurugu hizoo hazikuishia hapo.....pia kuna kundi la waumini liliweza kuvamia nyumba ya mchungaji na kutoa vitu vyake njee ya nyumba....
Itv wakati ikiwa inaawahoji baadhi ya waumini walilalamika ...kuwa uteuzi wa mchungaji wao haukufatwa na katiba ya kanisa....kuna wengine walimshutumu askofu mkuu ndugu lusekelo kuwa kuna ukabilaa ..wa upendeleo wa watu kutoka kwao....
Source::itv habali