Vurugu Arusha zimeisha mitaani ila bado zipo mioyoni mwa Watu

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Ukimsikiliza kila mtu hapa Arusha siku tatu baada ya polisi kuua raia utamsikia akiongea kwa uchungu mkubwa juu ya yaliyotokea.

Wengi wameshauri kama kuna jinsi ya kufanya nao polisi wapate uchungu kama nao walivyopata. Man hunting hasa kwa polisi wale wakorofi na walioshiriki kuwaua na kujeruhi raia imeonekana kuwa njia inayopendekezwa na watu wengi zaidi.
Kiu ya kulipiza kisasi inaonekana kukua mioyoni mwa wana Arusha kwa kumtafuta polisi mmoja mmoja.

Polisi wamepanda mbegu ya chuki mbaya ambayo siyo rahisi kufutika hadi pale raia watakapo lipiza vya kutosha kwa kuwalenga washukiwa wakuu haswa polisi bila kuogopa. Haya ndiyo mazungumzo yanayoendelea miongoni mwa wana Arusha.
Sasa mi sijui nini kitatokea kwani polisi hawapendwi tena na imekuwa kama enzi za Nyerere.
 
100% AGREED, Kisasi Bin Kisasi sio Shavu la kushoto ugeuze na la kulia!!!!!! HADI KITAELEWEKA.
 
Back
Top Bottom