Vurugu Arusha - Hakuna polisi waliojeruhiwa na wananchi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vurugu Arusha - Hakuna polisi waliojeruhiwa na wananchi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, Jan 19, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Tunasikia tu raia kuuawa, kudhalilishwa na kujeruhiwa na polisi huko Arusha, lakini hakuna taarifa kama kuna polisi waliojeruhiwa au la. Hata Mkuu wa polisi nchini hazungumzii jambo hilo ingawa awali kulikuwa na habari kuwa kuna baadhi ya polisi walijeruhiwa na wananchi.
   
 2. R

  RICHMAHOO Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mwema ndiye aliagiza raia wapigwe risasi arusha. njia ni kumnusuru shemeji asinyang'anye kiwanja arusha.
   
 3. R

  RICHMAHOO Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama polisi sii wezi.ni kwanini pesa ziibiwe AIR PORT.10billion.wao washindwe kuzilinda lakinini wakaweza kuwapora wananchi wa arusha na wabunge pesa zao pamoja na kuwauwa raia wasio na hatia
   
Loading...