Vunjeni vyama vya upinzani. Undeni chama kimoja cha upinzani.

Kifyatu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,382
3,196
Kilichotokea katika uchaguzi huu mdogo wa madiwani ni ishara tosha kuwa upinzani ule wa juzi sio huu wa leo.

Mnaweza kuja na sababu nyingi kuelezea kushindwa kwenu lakini deep down, ukijifunika shuka usiku, utakubali kuwa mmepoteza mvuto.

Mkienda kichwa kichwa (chama kimoja kimoja) kama mlivyofanya juzi kwa kweli upinzani wa sasa utakufa Tanzania.

Mimi ni muumini mkubwa sana wa nguvu za upinzani katika siasa za nchi. Upinzani kabambe unaifanya serikali iwe macho wakati wote kwa sababu wakiteleza tu dola itachukuliwa na chama kingine.

Hili sio jambo linalofurahiwa sana na chama tawala. Chama chochote kile cha siasa kikishika dola kitataka kibaki hapo milele. Nitawashangaa sana kama CCM watalegeza kamba. Upinzani nao nategemea watoe hoja zao nzito kwa wananchi kwa nini chama tawala kinahitaji kupumzishwa.

Ni katika mvutano huu wa hivi vyama ndipo sisi wanyonge tunapoponea. Kamwe nisingetaka nione upinzani unakufa na tuna chama kimoja tu.

Lakini tukubali tu wandugu, CCM imewazidi kete. You are out of CCM's league.

USHAURI
At least kwa sasa kusanyeni nguvu zenu zote, ondoeni ubinafsi (umimi) wenu, wekeni vichwa chini na mvivunje hivi vyama vyenu. Badala yake undeni chama kimoja. Sio mithili ya UKAWA, hapana - Chama kipya cha kisiasa kitakachokabiliana na CCM.

Nasema hivi kwa sababu:

CDM hawataweza kuaminiwa tena na wananchi baada ya ule ufidhuli waliowatendea 2015. Siku zote watu wakikumbushwa unafiki wenu roho zitawachefuka.

CUF wana mizizi mirefu visiwani, hasa Pemba. Pia wana wafuasi wengi bara. Lakini huu mtafaruk uliopo kati ya Maalim na Prof. Lipumba utaendelea kukigawa hiki chama kwa muda mrefu.

ACT-Wazalendo ni chama kipya na mwanzoni nilikipa matumaini makubwa sana. Lakini kwa ubinafsi wa Zitto katika uongozi, pamoja na kauli zake za hivi karibuni zilizobainika kuwa nyingi hazina ukweli, sasa hivi neno Zitto linakuwa kama dhihaka kwenye masikio ya wengi. Bado namuona Zitto kama kiongozi mmoja msomi, na akipewa nafasi anaweza kufanya makubwa sana. Lakini kwa hali inavyoendelea sasa naona hata ubunge wake ndani ya ACT unaweza kuwa hatarini ifikapo 2020.

Vyama vingine vidogo vya upinzani navyo vinaelekea kufa ingawaje vina watu ninaowaamini sana kama viongozi.

Huu unyanyapaa (stigma) walionao hivi vyama vya upinzani utapungua kwa kiasi kikubwa kama watakuwa chama kimoja, chini ya uongozi makini wa pamoja. Kejeli nyingi zinazowakabili sasa CDM, CUF, ACT, NCCR, TLP, nk., hazitakuwa na mashiko tena kama mpo pamoja chini ya uongozi mpya.

Hapa ndipo penye changamoto. Kila chama kinaomba ridhaa kipewe dola ili kiwaunganishe Watanzania wawe kitu kimoja. Hebu tuonesheni kama kweli mnaweza kufanya hayo makubwa kwa kujiunganisha nyinyi wenyewe kwa wenyewe kwanza. Kuna methali inayosema:

Fight together or hang separately.

The choice is yours.
 
Hicho chama kupata usajili wa kudumu labda 2030. Tena CCM watachekelea mno mkifanya hivyo
 
Mbowe awe tayari kupoteza. Ukifika 2020 vunja upinzani itakuwa ni boycott nzuri mno itasaidia.
 
CDM wamekubali kuidondosha UKAWA ili kumfurahisha Lowasa tu, kwa ubinafsi huo usitegemee wakabali kujitoa kwa ajili ya wengine hawa.
 
Kilichotokea katika uchaguzi huu mdogo wa madiwani ni ishara tosha kuwa upinzani ule wa juzi sio huu wa leo.

Mnaweza kuja na sababu nyingi kuelezea kushindwa kwenu lakini deep down, ukijifunika shuka usiku, utakubali kuwa mmepoteza mvuto.

Mkienda kichwa kichwa (chama kimoja kimoja) kama mlivyofanya juzi kwa kweli upinzani wa sasa utakufa Tanzania.

Mimi ni muumini mkubwa sana wa nguvu za upinzani katika siasa za nchi. Upinzani kabambe unaifanya serikali iwe macho wakati wote kwa sababu wakiteleza tu dola itachukuliwa na chama kingine.

Hili sio jambo linalofurahiwa sana na chama tawala. Chama chochote kile cha siasa kikishika dola kitataka kibaki hapo milele. Nitawashangaa sana kama CCM watalegeza kamba. Upinzani nao nategemea watoe hoja zao nzito kwa wananchi kwa nini chama tawala kinahitaji kupumzishwa.

Ni katika mvutano huu wa hivi vyama ndipo sisi wanyonge tunapoponea. Kamwe nisingetaka nione upinzani unakufa na tuna chama kimoja tu.

Lakini tukubali tu wandugu, CCM imewazidi kete. You are out of CCM's league.

USHAURI
At least kwa sasa kusanyeni nguvu zenu zote, ondoeni ubinafsi (umimi) wenu, wekeni vichwa chini na mvivunje hivi vyama vyenu. Badala yake undeni chama kimoja. Sio mithili ya UKAWA, hapana - Chama kipya cha kisiasa kitakachokabiliana na CCM.

Nasema hivi kwa sababu:

CDM hawataweza kuaminiwa tena na wananchi baada ya ule ufidhuli waliowatendea 2015. Siku zote watu wakikumbushwa unafiki wenu roho zitawachefuka.

CUF wana mizizi mirefu visiwani, hasa Pemba. Pia wana wafuasi wengi bara. Lakini huu mtafaruk uliopo kati ya Maalim na Prof. Lipumba utaendelea kukigawa hiki chama kwa muda mrefu.

ACT-Wazalendo ni chama kipya na mwanzoni nilikipa matumaini makubwa sana. Lakini kwa ubinafsi wa Zitto katika uongozi, pamoja na kauli zake za hivi karibuni zilizobainika kuwa nyingi hazina ukweli, sasa hivi neno Zitto linakuwa kama dhihaka kwenye masikio ya wengi. Bado namuona Zitto kama kiongozi mmoja msomi, na akipewa nafasi anaweza kufanya makubwa sana. Lakini kwa hali inavyoendelea sasa naona hata ubunge wake ndani ya ACT unaweza kuwa hatarini ifikapo 2020.

Vyama vingine vidogo vya upinzani navyo vinaelekea kufa ingawaje vina watu ninaowaamini sana kama viongozi.

Huu unyanyapaa (stigma) walionao hivi vyama vya upinzani utapungua kwa kiasi kikubwa kama watakuwa chama kimoja, chini ya uongozi makini wa pamoja. Kejeli nyingi zinazowakabili sasa CDM, CUF, ACT, NCCR, TLP, nk., hazitakuwa na mashiko tena kama mpo pamoja chini ya uongozi mpya.

Hapa ndipo penye changamoto. Kila chama kinaomba ridhaa kipewe dola ili kiwaunganishe Watanzania wawe kitu kimoja. Hebu tuonesheni kama kweli mnaweza kufanya hayo makubwa kwa kujiunganisha nyinyi wenyewe kwa wenyewe kwanza. Kuna methali inayosema:

Fight together or hang separately.

The choice is yours.

Tatizo siyo utitiri wa vyama ila ni katiba mbovu inayompa rais na viongozi wengine madaraka ya kufanya chochote bila kuhojiwa. Kama haki za binadamu zikivunjwa na dola hakuna chombo cha kikatiba kisichoegemea upande wowote cha kupeleka malalamiko. Vyama vya upinzani sasa viweke katiba mpya kama agenda pekee vinginevyo vitafutika kabisa.
 
Wazo zuri....but sina uhakika kama sheria ya usajili wa vyama vya siasa inaruhusu upinzani ku merge na kuunda chama kimoja na kipate usajili.
 
Kilichotokea katika uchaguzi huu mdogo wa madiwani ni ishara tosha kuwa upinzani ule wa juzi sio huu wa leo.

Mnaweza kuja na sababu nyingi kuelezea kushindwa kwenu lakini deep down, ukijifunika shuka usiku, utakubali kuwa mmepoteza mvuto.

Mkienda kichwa kichwa (chama kimoja kimoja) kama mlivyofanya juzi kwa kweli upinzani wa sasa utakufa Tanzania.

Mimi ni muumini mkubwa sana wa nguvu za upinzani katika siasa za nchi. Upinzani kabambe unaifanya serikali iwe macho wakati wote kwa sababu wakiteleza tu dola itachukuliwa na chama kingine.

Hili sio jambo linalofurahiwa sana na chama tawala. Chama chochote kile cha siasa kikishika dola kitataka kibaki hapo milele. Nitawashangaa sana kama CCM watalegeza kamba. Upinzani nao nategemea watoe hoja zao nzito kwa wananchi kwa nini chama tawala kinahitaji kupumzishwa.

Ni katika mvutano huu wa hivi vyama ndipo sisi wanyonge tunapoponea. Kamwe nisingetaka nione upinzani unakufa na tuna chama kimoja tu.

Lakini tukubali tu wandugu, CCM imewazidi kete. You are out of CCM's league.

USHAURI
At least kwa sasa kusanyeni nguvu zenu zote, ondoeni ubinafsi (umimi) wenu, wekeni vichwa chini na mvivunje hivi vyama vyenu. Badala yake undeni chama kimoja. Sio mithili ya UKAWA, hapana - Chama kipya cha kisiasa kitakachokabiliana na CCM.

Nasema hivi kwa sababu:

CDM hawataweza kuaminiwa tena na wananchi baada ya ule ufidhuli waliowatendea 2015. Siku zote watu wakikumbushwa unafiki wenu roho zitawachefuka.

CUF wana mizizi mirefu visiwani, hasa Pemba. Pia wana wafuasi wengi bara. Lakini huu mtafaruk uliopo kati ya Maalim na Prof. Lipumba utaendelea kukigawa hiki chama kwa muda mrefu.

ACT-Wazalendo ni chama kipya na mwanzoni nilikipa matumaini makubwa sana. Lakini kwa ubinafsi wa Zitto katika uongozi, pamoja na kauli zake za hivi karibuni zilizobainika kuwa nyingi hazina ukweli, sasa hivi neno Zitto linakuwa kama dhihaka kwenye masikio ya wengi. Bado namuona Zitto kama kiongozi mmoja msomi, na akipewa nafasi anaweza kufanya makubwa sana. Lakini kwa hali inavyoendelea sasa naona hata ubunge wake ndani ya ACT unaweza kuwa hatarini ifikapo 2020.

Vyama vingine vidogo vya upinzani navyo vinaelekea kufa ingawaje vina watu ninaowaamini sana kama viongozi.

Huu unyanyapaa (stigma) walionao hivi vyama vya upinzani utapungua kwa kiasi kikubwa kama watakuwa chama kimoja, chini ya uongozi makini wa pamoja. Kejeli nyingi zinazowakabili sasa CDM, CUF, ACT, NCCR, TLP, nk., hazitakuwa na mashiko tena kama mpo pamoja chini ya uongozi mpya.

Hapa ndipo penye changamoto. Kila chama kinaomba ridhaa kipewe dola ili kiwaunganishe Watanzania wawe kitu kimoja. Hebu tuonesheni kama kweli mnaweza kufanya hayo makubwa kwa kujiunganisha nyinyi wenyewe kwa wenyewe kwanza. Kuna methali inayosema:

Fight together or hang separately.

The choice is yours.
Sawa ni wazo pia
 
Back
Top Bottom