Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,123
- 39,337
Haha mtoto kanipora Galaxy S6+ hapa ndo nahitaji nami ya kutumia...Una mkwara blaza, yani utoe 1.4m kwa simu tu msimu huu wa JPM?
Kwa hela hiyo kawaida braza nimeuza mpunga juzi!!!
Haha mtoto kanipora Galaxy S6+ hapa ndo nahitaji nami ya kutumia...Una mkwara blaza, yani utoe 1.4m kwa simu tu msimu huu wa JPM?
Heh heh nenda Mcity pale bas uwe unajionea maajabu km kwako ni maajabu...watu wananunua Blackberry hadi za 3mil
Braza p9 bei gani?????Nauza 650 p8 lite...nipo kkoo aggrey ndio duka lipo
DohP9 nauza 950 tu
Ni used?!Nimeshusha bei:
Iphone Six (s) Storage128GB, RoseGold color.
Price: 1.45mil only badala ya zaid ya 1.95mil
View attachment 373564View attachment 373565
Pia Smartphones za kisasa, Originals tu sasa unapata kwa bei Poa kwang Vunja bei. mzigo unaingia kutoka South Africa kila week, Simu zote ni mpyaaa, Original lte na vifaa vyake, na ni Guaranteed.
# bei zangu ni easy kuliko kokote pale Tz.
Mfn:
Sony xperia z3, 16GB@550k
Sony Xperia M5 with Lte, 16GB @ 500k
Sony Xperia z5 4G Lte, 32GB @800k
Sony Xperia z5 Premium, 32GB @1.1mil
HTC One M8, 32GB @ 500k
HTC Desire Eye, 16GB @600k
HTC One M9, 32GB @750k
Huawei P8 lite 4G lte, 16GB @ 400k
Huawei P8 Lte, 16GB @ 600k
LG flex 2, 16GB @600k
LG G4 styles, 16GB @650
LG G4 leather backcover Lte, 32GB @650
Iphone 6, 16GB @950k
iphone 6 plus, 16GB @1.2mil
Iphone 6s, 64GB @1.4mil
Iphone 6s Plus, 16GB @ 1.4mil
Samsung S5 Lte, 16GB @500k
Samsung S6, 32GB @750k
Samsung S6 edge, 64GB @950k
Samsung S7, 32GB @1.3mil
Samsung S7 edge, 32GB@ 1.45mil
Samsung S6 edge plus, 32GB @1.25mil
Samsung Note 3, 32GB @ 500k
Samsung Note 4, 32GB @ 750k
Samsung Note 5, 32GB @ 1.1mil
.......etc.....
licha ya simu pia nina tablets, ipads na projectors
# Bei maelewano yanaruhusiwa.
[HASHTAG]#Ukihitaji[/HASHTAG] mzigo unaweza kufika ofisini kwangu Kariakoo au unaweza letewa ulipo.
# kwa maelezo zaidi unaweza kunipigia au kunitext kwa +255654776976