Je, ni kweli Vumbi la Kongo linaongeza nguvu wakati wa kufanya mapenzi?

Iko hv hivi hiyo vumbi ya kongo sio tiba ya moja kwa moja,ni inapajwa pale unapotka upige shoo ya kibabe ba sio kwa wife asee mana utaumbuka siku ukiikosa,niliipata kutoka kwa mdau wa humu humu jamii forum,daa ilipigwa show ya kibabe sana,ukipata dem mpya au mwenye maringo mpige na mkongo atakuheshim dumu daima ila kwa wife tafuta suluhu ya kudumu,wengi wanafuata PM kuuliza namba mchekini 0787811131 by then alikua anauza 15 tu ingaww ni ujazo mdogo sana wa kutumia km mara 3 au 4 hv
 
Yaani, sasa mbona wewe Babu yangu kisha waweke lugha hiyo!?

Kwa hiyo hata hapo kwako unashikisha ukuta wanao na wajukuu hadi vitukuu wako!?

:eek::eek::(:mad::(:mad::oops::oops::rolleyes::rolleyes:o_Oo_O


Sijasema hivyo, matamanio yangu mimi baada ya kubugia vumbi la Kongo ni wewe tu wa kuniliwaza.
 
Na ukiona mpenzi wako anatumia madawa ya kuongeza nguvu jua hakupendi anataka kukutesa eti masaa upo kifuani tu mbona nitakusukuma
Utatoa wapi hz nguvu za kumsukuma,hapo anakuwa na nguvu kama Simba dume tena haskiii kabisaaa mpaka uchubuke
 
Hili nimelijalibu, nilichogundua, vitu viwili. Kwanza haiongeze nguvu, kwahiyo tegemea nguvu ulizonazo, pili, kazi yake kubwa kupunguza ladha halisi, ya utamu wa mchezo, yaani dushe linapata ganzi fulani hivi, ambayo inafanya usisikie ile ladha halisi, ambayo itakayokusababishia umalize mapema. Kama nia kumuonyesha mwanamke mpya wewe ni nani inafaa, ila kwa mkeo hii ni marufuku, sababu hutoweza kuitumia hii kila unapotaka kumtumbuiza mkeo. Zingatio hii kitu haitoi nguvu za mkopo, lazima hivo basi lazima uwe nazo zako. Na hii ni kwa mechi maalumu tu, na sio kila mechi.
kweli kabisa
 
hii kitu jau spidi yako ndio itakayokusaidia kutafuta bao kama pumzi huna utajuta halafu inamaliza kabisa nguvu kwenye magoti
Vipi mkuu wewe ushawahi kuitumia??? Tupe uzoefu wako kwenye hili.... Iyo siku ulikomoaaa au
 
Basy hapo kunakua hàkuna upendo
Kwanini kukomoana sasa
Wapenzi wa hizo mambo wanakwambia lengo lao ni waonekane kuwa wanaweza kuwaridhisha wenzawao kwa kiwango kisicho cha kawaida.Taabu inakuja pale ambapo anataka mpaka dushe yake ilio na ganzi ihisi mguso.
 
ntafuteni niwape suluhisho la kudumu
Hello Ladies and Gentlemen,
Nilifanikiwa kupata lile vumbi la Kongo .kwa kweli inafanya kazi vizuri sana sana. Nilichogudua baada ya kupaka kwenye kichwa cha !!!! Inatakiwa ukae kama masaa 2 ndio uingie kwenye Game ,nilivyoona mimi inafanya Kile kichwa cha !!!!! Kutokuhisi hisia inafanya kama vile ganzi fulani unachukua karibia lisaa limoja bila ya ku ejaculation, yaani inauzwa kidogo sana .But it works ,highly recommended kwa wale ambao wanapenda kukomoa ,
NB : *usimfanyie mkeo wa ndoa *
 
Hivi wakuu mbona kula vizuri ndio mpango mzima kwenye suala zima la stamina Na nguvu kwenye kugegeda!!
Acheni kutumia hayo ma-booster, kuleni matunda Na samaki plus maziwa, vitunguu swaumu na asali ndio kila kitu!!
Vumbi la kongo kwangu mimi Ni mwiko Na bado napiga shoo ya ajabu!!
 
Back
Top Bottom