Vumba katika tank ya mafuta

LAPUA MAGNUM 338

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
424
1,139
Habari wanajamvi, nimekua nkisikia kuwa tank la mafuta katika gari lina vyumba kwa ndani, nlipouliza nkaambiwa vyumba vnasaidia mafuta kuingia mengi zaid kuliko tank lisilo na vyumba hata kama yote yana ujazo sawa, kwa weny uelewa je hii kitu ni kweli au?
 
Mimi nnavyojua vyumba vinasaidia kubalance mafuta, kwa maana yakikaa katika hall moja yakuwa nusu tank gari ikilala mbele na yenywe yatalala, hivyo wanaweka chambers ili kubalance tu tank
 
Back
Top Bottom