Vuguvugu la UDINI: Biblia takatifu yakojolewa huko Tanga

Status
Not open for further replies.
Hiyo source yako mbona ipo kihuni sana eti majira.Sema la tarehe ngapi na ukurasa wa ngapi ndo tutakuelewa.Siku nyingine ujifunze kuleta taarifa leo nimekustahi
 
kikwete toa speech na kukemea btw, hawa ndugu zetu waislam hawajui kuwa siku hizi tunazo biblia kwenya tablets aka i pad, ipad+3G, ipad 2, ipad2+3G , i pad 3,simu kibao i phone generations , i phone 3, i phone 4, iphone 5, ma samsung Galax daaaaaaaah natamani nitaje vyote hapa na niwape hawa waislam na link za app za bible .
So wakojolee tu hata wazinyee. Sisi tuna touch tu kitu bible kinatokea .. Kama yeye kidume aje akojolee i pad 3 yangu nimtoe koromea.

wakojolee tu, ila tuwazidi kwa kila kitu isipokuwa kujilipua!
 
amekojolea kitabu tu, ambacho kinatengenezwa hapo kwenye viwanda vya kuchapa dodoma...hahaha, tutanunua vingine, hapo tunahesabu sawa tu na vile vingi ambavyo vimeliwa na panya huko majumbani kwetu. hatuwezi kuandamana kwasababu sisi hatuamini kitabu, tunaamini Neno ambalo liko mioyoni mwetu halikai tu kwenye kitabu. hata kitabu kikikojolewa au kuunguzwa tumaini letu halijafifia kwasababu Neno la Mungu linakaa mioyoni mwetu kama suala la vitabu tu tutachapa vingine vingi. did you know the Bible is the best seller of all the books in the world every year? kuna watu wengi zaidi wanaonunua biblia na kuisoma kuliko wanaonunua vitabu vingine....
 
MUNGU ambariki huyo PUNGUANI WA MWAMEDI ili awe na akili timamu na pia YESU KRISTO atajitetea mwenyewe..na hamtasikia kuna maandamano yanafanywa kila jumapili wala hamtasikia msikiti wowote umechomwa kwa sababu hiyo but MUNGU MWENYEWE atawajibu tu
 
Though source haileweki i mean ni vigumu kuifatilia. Mafundisho yanasema msamehe kwa maana hajui alitendalo na umuombee kwa Mungu ili aweze kuujua ukweli na kumfuata Yesu. Nayo kweli itamuweka huru maana shetani amemfunga asiijue kweli. Amina
 
I Pad 3, umekata mzizi wa fitna, nilikuwa na hasira mpaka nikacheka......!Bwana Yesu asifiwe sana, nawapenda sana wakristo, mbona reasoning yenu ni kubwa sana? mmetishaaaaaaaa, wambieni wanyee kabisa
 
Nalaani vikali ndugu huyo aliyekojolea kitabu kitakatifu kwa ndugu zetu wakristo, alicho kifanya ni kitendo cha kipumbavu ambacho ni kinyume na mafundisho ya mtume wetu Muhammad SAW. Muislamu aliyetimamu hawezi kufanya jambo la kumuudhi na kumkwaza asiye muislamu.

Tunapaswa kuishi kwa kuheshimiana na kuvumiliana na ikitokea tofauti miongoni mwetu kama ilivyo kawaida ya kiasili ya kibinadamu tunapaswa kufunguliana milango ya majadiliano huku tukiongozwa na upendo miongoni mwetu.

NALAANI VIKALI KIJJANA ALIYE KOJOLEA BIBLIA MAANA HAJUI ALITENDALO.
 
Nikiangalia haya yote,na watu mnavocomment humu ndani nagundua kitu kimoja tu.
Walioleta dini wamefanikiwa kutuvuruga.

When it comes to religion/faith/believes even the little sense,logic and reasoning the wisest of us all have is waned. Then,we start arguing provocatively or hurl things we wudnt see ourselves saying under ordinary circumstances!

My call to us all is-let‘s be calm,lets put to use our faculties of reasoning.And let not religion take away our inherent quality,that is,thinking critically.
 
huwa nawashangaa sana hawa watoto wa hsngazi, kila wanapojaribu kutuchokoa tunakaa kimya, hivi hawajiulizi kwa nini tunafanya hivyo? mimi naoa heri angekinyea maji kabisa aone kama tutachukua hatua. sisi tumefundishwa kusamehe na mungu hayuko katika kitabu MUNGU yupo ndani ya mioyo yetu.
 
Hiyo source yako mbona ipo kihuni sana eti majira.Sema la tarehe ngapi na ukurasa wa ngapi ndo tutakuelewa.Siku nyingine ujifunze kuleta taarifa leo nimekustahi

umesema kweli kaka, huyu jamaa habari yake haijitoshelezi,hawa ndo wanafiki. Aseme, Tanga sehemu gani,lini ,nani, na nini amefanyiwa mtuhumiwa.
 
Nalaani vikali ndugu huyo aliyekojolea kitabu kitakatifu kwa ndugu zetu wakristo, alicho kifanya ni kitendo cha kipumbavu ambacho ni kinyume na mafundisho ya mtume wetu Muhammad SAW. Muislamu aliyetimamu hawezi kufanya jambo la kumuudhi na kumkwaza asiye muislamu.

Tunapaswa kuishi kwa kuheshimiana na kuvumiliana na ikitokea tofauti miongoni mwetu kama ilivyo kawaida ya kiasili ya kibinadamu tunapaswa kufunguliana milango ya majadiliano huku tukiongozwa na upendo miongoni mwetu.

NALAANI VIKALI KIJJANA ALIYE KOJOLEA BIBLIA.

Unalaani wewe kama nani wakati sisi wenye bible tumemsamehe?
Naomba useme kuwa umemsa,ehe na Mungu ampe hekina na uwezo wa kuelewa kosa lake ili asirudie tena...
Unasemaje hapo ndugu yangu?
 
hata tukienda huko msikitini tutaharibu nn mikeka au kumwaga maji EEH MWENYEZI MUNGU MSAMEHE AJUI ATENDALO

fahamu uislam ni dini na muislam ni mtu. Mtu anaefuata dini hawezi kufanya tendo kama hilo,dini hairuhusu upuuzi kama huo. Hao ni wale ma opportunist wanajaribu kuchafua hali ya hewa wafanye mambo yao kama ilivyokuwa mbagala tu.
 
Tofauti ya uislam na ukristo ni kwamba uislam ni dini ya mungu ukristo ni dini ya kutengenezwa kitabu chao hakina tofauti na kile cha abunuasi ndio maana hata ukinyea hawajali
 
mwisho wa siku..eti tuna njaa, ukame, tuna mafuriko, ooh ajali mbaya, umwagaji damu, ufisadi, vizazi vya ajabu ajabu. tumemkasirisha Mungu, jamani kwanini tusimuache Mungu afanye mambo yake? mi naona tunakoelekea kubaya na wengi tutaangamia..hivyo vitabu vinatupa miongozo ya maisha haya, je hiyo ndo njia ya kuwashukhuru walio turithisha hivi vitabu akina nabii Musa na Mtume S.A.W. tafakarini njia zenu ndugu zangu tutapata laana ya milele.
 
Jambo la msingi napenda kutoa shukurani mbele za Mungu Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo yeye anayetukirimia mambo mema bila kujali mwovu na mwema. pia Mungu akubariki ww uliyechangia kwa maana nzuri kwamba Mungu tunayemwabudu ni zaidi ya Biblia kwani hata zikiuungua zote kwa yeye ni NENO na yuko ndani ya amwabuduye basi si neno lolote lililoharibika zaidi tu kwamba unazidi kutambua kuwa kumbe tunyemwabudu ndiye Mungu wa kweli asiye na hasira wa chuki dhidi ya mtu mbaya ndiyo maana aliacha henzi na utukufu kwa ajili ya watu waliopotelea DHAMBINI. kwa hali hiyo inaamini kuwa hata huyo anaitwa na Mungu huyu mzuri ili apate kuwa shahidi mzuri wa matendo makuu ya Mungu, kwani sioni kwamba yy ameshindikana kiasi cha kumshinda Mungu ikiwa alikuwepo SAULI muajia na mtesaji wa watu wa Mungu lakini ilipo fika zamu yake alisema YESU ndiwe BWANA. Tunamwombea Mungu amsamehe na amfanye kuwa mtumishim wake katika "jina na YESU". Kwa mkristo wa rohoni ahabuduye katika roho na kweli soma Mith 26:4. Ukisoma andiko hilo linasema " Usimjibu mpumbavu sawasa na upumbavu wake usije ukafanana naye.Na MUNGU APITAYE AKILI ZOTE AWABARIKI. AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom