Vua gamba vaa Gamba karibu kusini CHADEMA

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
3,041
2,422
Huku kusini Chadema mnao mtaji mkubwa wa kuimarisha mtandao,yaani manung'uniko ya wakulima hasa wa zao la korosho,hilo linaifanya ccm kukosa mvuto kabisa,sanjali na hilo watu wanaamka,ombi langu Chadema waje kuimarisha mtandao wao,kwa hiyo karibuni sana kuja kusambaratisha na kusimika Chadema Ideologies,possible areas ambazo chadema ingeweza kupata viti hata ile 2010 ni jimbo la Nachingwea,ambapo aliyekuwa Dc huko kageara Albert Mnaly alshinda kura za maoni against Mathias Chikawe,kilichotokea alichakachuliwa,hivyo waulizeni wanachingwea watawaambia kuwa mbunge wa sasa hakubaliki,eneo lingine ni Jimbo la Masasi ambapo aliyepita kura za maoni anaitwa Kazibure,walimchakachua,akapewa mbunge wa sasa,jamaa alishindwa hamia upinzani kwa vile ni mfanya biashara aliogopa fitina za magamba vs TRA .Mtwara mjini mbunge alishindwa kabisa,redio fm za mtwara zilitangaza kila kituo,ccm ilishindwa na baadaye polisi walizuia redio hizo kutangaza,mgombea wa Cuf Uledi alishinda mwisho wa siku wakachakachua,Tandahimba Cuf walishinda wakachakachua.Hivvo basi hali hii ya siasa hapa kusini ni promissing kama Chadema wangekuwa na mtandao ulioimarika ni wazi Nachingwea na Masasi ingekuwa iko chini ya Makamanda, Wito wangu kwa CDM waje na wanainchi wa kusini kuungana kumwangamiza mnyama gamba hili Joka linaloitafuna TZ, Dr Slaa nimekuwanasiliana nae pia ,ila ombi langu mji mdogo wa Ndanda katika masasi ni Potential area Chadema wafikirie pia kufanya mkutano mmoja katika ratiba zao za vua gamba vaa gwanda Ndani ya eneo la masasi Ndanda iwe mojawapo ,natumaini viongozi wanatembelea jamvini .Peopleeeeeeeeees !
NAWASILISHA ,UKANA SHILUNGO.
 
tumekuelewa ila juu andika vua gamba vaa gwanda,pia mjifunze na mtambue kuwa fisi mlikabidhi bucha 2010.kala nyama hadi korosho zenu pia kwa sababu ya fulana,kofia etc mkamwamini msirudie.nguo chukueni kura CHADEMA6
 
Jamaa umenifurahisha sana! Umeshindwa kuzuia hisia zako halisi! Ndanda ni eneo ' potential' kama ulivyosema kwa sababu ya hiyo mission? Na unavutia Masasi zaidi kwa sababu kuna population kubwa kidogo ya wakristo? I can smell hidden udini here! Anyway unataka Mtwara iunganishwe kwenye nchi ya KASKAZINI?
 
Safi sana kikubwa tufanye kampeni ya kushawishi vijana wote tujiandikishe kupiga kula 2015 ziwe kula nyingi tuone kweli wata iba?
 
Jamaa umenifurahisha sana! Umeshindwa kuzuia hisia zako halisi! Ndanda ni eneo ' potential' kama ulivyosema kwa sababu ya hiyo mission? Na unavutia Masasi zaidi kwa sababu kuna population kubwa kidogo ya wakristo? I can smell hidden udini here! Anyway unataka Mtwara iunganishwe kwenye nchi ya KASKAZINI?

Yaonekana wazi mtu km wewe ukipAta ajali utakimbilia kuZuia masaburi yasiumie means ndio unayatumia kufikiri!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom