VSO usaili Mikocheni B

kasichana

Member
Oct 21, 2014
94
42
vp wadau? Hope mko pouwa! Kuna nafasi za volunteering zilitolewa mwezi uliopta ktk orgnsatn ya international citizen servcs! Wamenpgia cm na kuniambia niende kwnye usaili mikocheni b (cefa hostel)!! Km kuna mtu amepgiwa au ana ufaham juu ya hawa bwana anijuze!!
 
Mimi nawafaham ni organisation ya kujitolea kijana wewe nenda tu kama umekaa huna kazi nenda ukapate mda wa kukukeep bize na kukuza career yako na ukashirikiane na waafrica wenzio na wazungu kibaoo mtakao kua nao remember hakuna malipo ni kujitolea tu
 
nmekupata mkuu!! Kwa hyo ni mwendo wa kupga ndefu? Dah hawa jamaaa
 
kuna allowance inatolewa kila wiki....mi nimemaliza program huko juzi tu.......wako poa kama huna kazi nenda tu ucckize ya watu....
 
nenda kijana jamaa wako pouwa sana ,nilishawahi fanya nao interview kagera.Maswali yao mengi sio ya professional bali ya jamii na kutumia akili zaidi mfano umasikini,jinsia,watoto na English test
 
Mkuu Nasi, unaposema english test una maanisha nn!??
Haya kwa wanaojua, niko na swali, kuna ndugu yangu kapigiwa cm, lkn kuna sehema kajishikiza wanamlipa laki 3! Je aacha huko kwa laki 3 aambatane na wandugu hao, au aendelee!??
 
Mkuu Nasi, unaposema
english test una maanisha nn!??
Haya kwa wanaojua, niko na swali, kuna ndugu yangu kapigiwa cm, lkn kuna
sehema kajishikiza wanamlipa laki 3! Je aacha huko kwa laki 3 aambatane
na wandugu hao, au aendelee!??

hapana abaki na kazi yake......kule hamna mshahara asee
 
Back
Top Bottom