VPN Na Access Point!!

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,685
22,694
Habari wakuu,.

Mimi natumia simu aina ya Nokia E-71,.

Ninapoingia katika mtandao na kufungua video kwenye Link au You tube sifanikiwi badala yake napata hizi jumbe,.

1.Define your access point

2.Check your VPN settings,.

Naombeni msaada wenu wakuu ni jinsi gani naweza kuondokana na hili tatizo!!
 
Fuatisha hizi hatua
  • Menu -> Ctrl.Panel --> Settings --> Applications --> Real Player --> Streaming --> Network
  • Default Access point {Chagua moja kati ya zilizopo kwenye list}
    • Mfano: Airtel Internet au
    • Vodacom internet
  • Online time - Chagua Unlimited
  • Lowest UDP port - Weka 6970
  • Highest UDP Port - Weka 32000
Exit settings na jaribu kutembelea Youtube.
 
mkuu mi inaniadika "flash player does nt supported" ni E 75.
 
Back
Top Bottom