libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,367
- 3,382
Kama vibonde mbona wewe uliwafunga kwa taabu halafu goli la offside?Mmepata vibonde
Kama vibonde mbona wewe uliwafunga kwa taabu halafu goli la offside?Mmepata vibonde
Chirwa 3 na martin2Wafungaji nani???
Vibonde mlishinda kwa goli la offsideMmepata vibonde
Mmepata vibonde
Vibonde mlishinda kwa goli la offside
Simba mwaka huu tumeruhusiwa na TFF kufunga magoli yote kwa njia ya offsideKama vibonde mbona wewe uliwafunga kwa taabu halafu goli la offside?
Kikipoa hakipondeki.chuma kiponde kingali cha moto
Leo yanga wamenipa raha isiyokifani jamanBao mbili za fastafasta hivyo
Bora mtibwa alivyofungwaNjombe mji 0 Azam 1
Mtibwa 0 Kagera sugar 1
Yanga 5 Mbeya city 0