Vp wadau wa kubeti

test man

JF-Expert Member
Aug 13, 2016
1,013
948
Wekeni timu za uhakika bc tupate hela maana hali ngumu si mchezo kitaa hapa na buku nataka nipate hata elf kumi tu
 
Mkuu wape barca alaf game ya Dortmund weka over 1.5,
Inter na toth weka GG
Psg na liver weka GG alaf atletico weka Atletico win or draw
 
Cheza double chance kwa tim 3, weka mzigo wa maana kesho uamke unacheka
 
una kifua...maana mzigo nia kuanzia 50 mpaka laki 2 ndio wa kuweka...na odss ni 2.2 mpaka 5...uwe na kifua tu
 
Back
Top Bottom