Duh Mkuu upo nondo! Vipi vigezo na masharti kuzingatiwa au ndio yale ya kupiga simu leo interview kesho?wataanza, tar 10 mwezi huu.
Kaka usipotoshe umma, mwezi uliopita ndo deadline ilikuwa ya hizo kazi, hadi sasa wanaendelea na shortlist, hizi ni habari za ndani wadau, kuitwa itaanza around tar 10.Tayari wameitwa kwa njia ya simu na wamefanya interview last month. Hiyo ya tarehe 10 labda second round. Anyway, tusubiri taarifa zaidi.
Kaka endelea kuomba mungu tu, around tar 10, hizi ni habari za ndaniDuh Mkuu upo nondo! Vipi vigezo na masharti kuzingatiwa au ndio yale ya kupiga simu leo interview kesho?
<br />wataanza, tar 10 mwezi huu.
<br />Kaka endelea kuomba mungu tu, around tar 10, hizi ni habari za ndani
<br />Kaka usipotoshe umma, mwezi uliopita ndo deadline ilikuwa ya hizo kazi, hadi sasa wanaendelea na shortlist, hizi ni habari za ndani wadau, kuitwa itaanza around tar 10.
watu zaidi ya 500 waitwe kwa njia ya simu? acha kutuzuga wewe au na wewe ni magamba nini!Tayari wameitwa kwa njia ya simu na wamefanya interview last month. Hiyo ya tarehe 10 labda second round. Anyway, tusubiri taarifa zaidi.
watu zaidi ya 500 waitwe kwa njia ya simu? acha kutuzuga wewe au na wewe ni magamba nini!
submission ya barua ilikuwa deadline tar 10 mwezi uliopita,sasa naamini waombaji walikuwa wengi,itakuwa ni ngumu kwao kuita watu kwenye interview the same month, maana mchakato wa kuchambua barau si mrahisi sanaTayari wameitwa kwa njia ya simu na wamefanya interview last month. Hiyo ya tarehe 10 labda second round. Anyway, tusubiri taarifa zaidi.