VP Samia Suluhu: Serikali ipo tayari kukosolewa na madhehebu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,713
Screenshot_2018-06-10-18-22-30~2.png


Makamu wa rais, Samia Suluhu amesema viongozi wa dini wana nafasi ya kuikosoa serikali pindi wanapoona inakosea na hakuna tatizo katika hilo isipokuwa ifuate utaratibu unaofaa.
Msikilize
 
Back
Top Bottom