vp kama kandege ka malaysia kangepotea na kaserikali kote ka ccm?

Truth guy.

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
396
195
Bandugu,huku kijijini kwetu tunanchi twa huku tumeanza kukachukia ka ccm,tuzee tunashinda na njaa,tukiugua hatuna ela ya kwenda sipitali kutibiwa,sasa tunasema ya kwamba asavali kale kandege ka malaysia kangepotea na kaserikali kote ka ccm,ili vinanchi vipate pumua wajameni,labuda na kababuseya kangetoka jela,maana kameonewa muno! au sivyo bandugu?
 
Back
Top Bottom