Vp Biashara Ya Samaki Dodoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vp Biashara Ya Samaki Dodoma?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Majigo, Aug 14, 2012.

 1. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wakuu Kwa Mtu Yeyote Mwenye Ujuzi Kuhusu Biashara Hii Hasa Samaki Wa Maji Baridi Huko Dodoma.
  Soko Lake vp Lina Upinzani Mkubwa?
  Mimi Niko Mbeya...NAWASILISHA kwa Salam Na Shukran Kwenu!
   
 2. M

  MI6 Senior Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Inalipa sana inategemea unawatoa wapi? Kama ni mtera inakuwa poa sana hata bei yake inalipa kiasi.
   
 3. b

  babashakur New Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nataka kujua je wa maji chumvi nao wanalipa mimi niko tanga
   
 4. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Nashukuru Sana Mkuu
  Mimi Nimepanga Kuwatoa Ziwa Nyasa(mbeya)
  Sababu Ndiko Niliko
  Ila Kama Ulivyosema Mtera,itabidi Niangalie Inakuwaje!
   
 5. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  unaona Mkuu...tungoje Wadau Watoe Mchango Wao!
   
 6. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu watu wa Mbeya, Njombe na Ruvuma wako wengi tu DAR na wengine tumeoa huko na tungependa sana kupata samaki toka Ziwa Nyasa. Binafsi sijawahi kuona au sijuwi sehemu yeyote DAR panapouzwa samaki toka ziwa Nyasa kama vile Mbasa, mbelele n.k bila kuwasahau dagaa wake watamu. Nafikiri kwa DAR inaweza kulipa zaidi maana hata access yake ni rahisi kuliko DOM.
   
 7. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mkuu Nimekupata Sana Sikulijua Hilo
  Kiukweli Samaki Hawa Ni Wazuri Ila Changamoto Ni Uhifadhi Mpaka Ziweze Kufika DAR
  shukran Sana Mkuu
  Tafadhari Naomba Mawasiliano Yako

  Vilevile Kama Kuna Mtu Anajua Soko La Samaki Hawa Kwa Hapo DAR kama Lipo,nahitaji Mchango Wenu!
   
 8. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu ushauri wangu ni kuwa unaweza kufika DAR ukajaribu kuzunguka kwenye mabucha/maduka ya kuuza samaki. Ongea nao wewe waweza kuwa supplier wao tu. Kama una mpango wa kufungua duka lako mwenyewe basi inabidi ujuwe sehemu ambayo idadi ya wakazi wa Songea/Mbeya ni kubwa ili uweze kupata wateja kwa haraka. Wazoefu wa DAR wanaweza kutuambia hapa maana DAR imegawanyika japo si mgawanyo rasmi. Kwamfano ukitaka wachaga wengi utawapata Kimara, Wakurya utawapata Kipunguni na Kitunda, wasukuma utawapata Vingunguti na Kigamboni. Japo najua watu wa Songea unaweza kuwapa kwa wingi Mabibo huenda kuna sehemu nyingine waliko wengi zaidi. Biashara ikishakuwa unaweza sasa kufungua matawi sehemu zingine. Soko ni kubwa tu na familia yangu tutakuwa wateja wako wa kudumu.
   
 9. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  shukrani Sana Mkuu Kwa Kunipa Mori Na Ushauri Makini,nitayafanyia Kazi!
  Nafikiria Namna Ya Kuwahifadhi Samaki Mpaka Kufika Kwenye hzo Bucha Kubwa Bila Kupoteza Ubora Wake.
  Sababu Barafu Sijazipa % kutokana Na Changamoto Za Usafiri!
   
Loading...