Voters Registration System/Mfumo wa Uandikishaji Wapiga Kura: NINI KIFANYIKE?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
ndugu ktk uchaguzi mkuu uliopita ni watu 8mil ndio walishiriki kikamilifu ktk mchakato wa kupiga kura instead ya 21mil km ilivyopaswa/ilivyotegemewa. Je tatizo ni nin? Nini kifanyike? Vp kuhusu mfumo wa sasa unaotumiwa na NEC ktk kuandikisha hawa wapiga kura wasiopiga kura unamapungufu gani? Nini kiboreshwe!
 
Back
Top Bottom