Vote of No Confidence To Kikwete. He is a Danger to The Country. He Must Go

Status
Not open for further replies.
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 28(2)

‘Mtu yeyote hatakuwa na haki ya kutia sahihi kwenye mkataba wa kukubali kushindwa vita na kulitoa taifa kwa mshindi, wala kuridhia au kutambua kitendo cha uvamizi au mgawanyiko wa Jamhuri ya Muungano au wa sehemu yoyote ya ardhi ya eneo la taifa na, bila ya kuathiri Katiba hii na sheria zilizowekwa, hakuna mtu atakayekuwa na haki ya kuwazuia raia wa Jamhuri ya Muungano kupigana vita dhidi ya adui yeyote anayeshambulia nchi’.
 
Hayo ni baadhi ya maneno kutoka kwa kada mmoja mwandamizi ndani ya CCM(************).

*Alisema ni wakati muafaka sasa kufanya mabadiliko ya uongozi kuanzia ngazi ya juu ya uongozi ndani ya CCM baada ya kushindwa katika mkakati wa awali wa kuwaondoa mafisadi katika ngazi ya chini kupitia chaguzi za ndani ya CCM

Mkakati huu utagusa nafasi ya mwenyekiti, Secretariety ya chama na kamati kuu.

*Sababu kuu za kutaka kumwondoa JK kwenye nafasi ya uenyekiti ni kutokana na udhaifu alionyesha ambao
unatishia uhai wa chama, kwa mfano.
1/Kushindwa kuwafukuza mafisadi kutoka kwenye chama(Katika mkakati wa kujivua gamba)

2/Kushindwa kuchukua hatua dhidi ya vitendo vya rushwa vilivyokithiri katika chaguzi za CCM na serikalini.

3/Kushindwa kuvunja makundi yanayokinzana ndani ya chama yanayotishia uhai wa CCM

*MIONGONI MWA MAPENDEKEZO MAPYA
1/Kutenganisha kofia ya Mwenyekiti na Urais.
(Lengo ni chama kuidhibiti serikali na pia kuepusha chama kupakwa matope kutokana na utendaji mbovu wa serikali)

2/Kuwa na watendaji wa juu wa chama(Secretariety) wasio na majukumu mengine nje ya chama.
(Lengo ni kuwa na watendaji wa uhakika na wanaowajibika wakati wote moja kwa moja kwa chama)

3/Kuzuia mafisadi kuingia kamati kuu na secretariety
(Lengo ni kukipa chama sura inayokubalika na pia kuepusha chama kuangukia mikononi mwa mafisadi)

4/Kutengeneza utaratibu utakaotengua au kuwaondoa viongozi mafisadi na walitoa rushwa wakati wa uchaguzi wa ndani wa CCM
(Lengo ni kuwa na timu ya watendaji wasafi kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2015)
 
Nyie hamijui CCM. Kikwete anagombea na nani?
Makamu wenyeviti wanagombea ni wepi hao!,l

Mtashangaa atachaguliwa kwa 99%.
MaCCM yote akili zao zimefanana.......wait and see.
Na wakishamaliza kufanya hayo maigizo yao watacheza muziki na kujaribu kugandana.
 
acha kujifunza kuropoka mkuu,unaheshimika sana hapa jf
 
Tangia lini mmeanza kuwa na uchungu na nchi hii kama si unafiki?
Hivi nyie wana ccm mbona mmechanganyikiwa zaidi kipindi hiki na ni wiki hii? Ina maana hayo madhaifu siku zote hamja yaona mna yaona leo?

Kwangu mimi nyie nyote ni wanafiki na hamuwezi kufanya hivyo na hakuna msafi ccmweli!

Nyie wenyewe ndio mmenyamaza miaka yote hiyo leo ndio mmefumuka sijui kutoka wapi mnaona kuna mapungufu?
Hayo mapungufu mna yaona leo au yameanza kufanywa jana?

Hakuna lolote zaidi ya unafiki hapa.

Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni hatari kwa taifa na kama tutashindwa wana CCM, basi janga litaikumba chama chetu 2015

.........Mods Tafadhali Msiondoe.......
 
Baada ya kutoa matamshi ya ajabu kwa kiongozi wa Malawi kwamba Tanzania haimiliki ziwa nyasa, nadhani ni vyema rais Kikwete kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye. Hawezi tena kuiongoza nchi. Ni hatari kwa taifa na kama tutashindwa wana CCM, basi janga litaikumba chama chetu 2015

.........Mods Tafadhali Msiondoe.......

ulikuwa ndotoni umekurupukia jf?
 
naona itifaki za kumng'oa zimeshaanza kufanya kazi. Mchinjieni tu hapo Dom
 
Mkiweza kumtoa jk hiyo kofia naomba muiweke kichwani kwa lowasa mzee wa mamvi
 
Mkiweza kumtoa jk hiyo kofia naomba muiweke kichwani kwa lowasa mzee wa mamvi na mimi mtanipa kani ya ccm
 
ukilitazama kwa makini hata huyo wa Malawi anazungumza kitu asichokifahamu anakuwa kama Marehemu Iddi Amini Dada kwahiyo kauli ya Rais wa malawi siyo kipimo cha kuamua kupiga kura of no confidence
 
Nyie hamijui CCM. Kikwete anagombea na nani?
Makamu wenyeviti wanagombea ni wepi hao!,l

Mtashangaa atachaguliwa kwa 99%.
MaCCM yote akili zao zimefanana.......wait and see.
Na wakishamaliza kufanya hayo maigizo yao watacheza muziki na kujaribu kugandana.

mbavu zangu uwiii

ILA NI KWELI, EBO!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom