Vote Now!!

Ikitokea nafasi ya kugombea uraisi kati ya Jpm na Jk kura yako Tampa nani??? Vote now!!
Acha unafiki muda wake umeshapita kwa sasa Rais ni J .P .Magufuli kiboko ya mafisadi na malanguzi na mivivu yote ya kiakili na kimwili fanyeni kazi na asiyefanya kazi na asile Hata kwenye Biblia Takatifu imeandikwa .
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Ni bora nisipige kura kuliko kumpigia mtu ambaye yupo chama tawala kwa sasa
[HASHTAG]#freeMaxenceMelo[/HASHTAG].
 
Kazi ziko wapi?

Acha unafiki muda wake umeshapita kwa sasa Rais ni J .P .Magufuli kiboko ya mafisadi na malanguzi na mivivu yote ya kiakili na kimwili fanyeni kazi na asiyefanya kazi na asile Hata kwenye Biblia Takatifu imeandikwa .
 
Acha unafiki muda wake umeshapita kwa sasa Rais ni J .P .Magufuli kiboko ya mafisadi na malanguzi na mivivu yote ya kiakili na kimwili fanyeni kazi na asiyefanya kazi na asile Hata kwenye Biblia Takatifu imeandikwa .
kweli kabisa kibiko ya lugumi na meli yetu chakavu
 
Acha unafiki muda wake umeshapita kwa sasa Rais ni J .P .Magufuli kiboko ya mafisadi na malanguzi na mivivu yote ya kiakili na kimwili fanyeni kazi na asiyefanya kazi na asile Hata kwenye Biblia Takatifu imeandikwa .
Well received to everyone. ...stay well
 
Back
Top Bottom