Vote for your best avatar in JF!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
0
I cast my vote to this one....................

avatar27424_2.jpg

Kumbukumbu zangu zinanikumbusha jamaa anaitwa Kauzu!!!!!!!!!!!!

Sababu: Avatar yake na ID yake 100% zinaendana. Amepatia choice ya Avatar

NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
0

If given a chance to vote for a second best, this one will take my vote

avatar6153_6.jpeg

Anaitwa Rev. Masanilo.

Sababu: Huyu ni mzalendo halisi, kama avatar yake inavyovutia na kujawa na kila dalili ya busara ya mzee wa kijiji, ndivyo alivyo ndani ya JF
 
Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,841
1,225
Anaitwa Rev. Masanilo.

Sababu: Huyu ni mzalendo halisi, kama avatar yake inavyovutia na kujawa na kila dalili ya busara ya mzee wa kijiji, ndivyo alivyo ndani ya JF<!-- google_ad_section_end -->

Siyo kweli kama unaangalia jina sawa ila comments/mchango wake mara nyingi unakuwa tata na lugha si nzuri hata kidogo!
 
Hahaaaa, Ema, nakubaliana na wewe. Lakini unajua nini, Mchungaji mtata sana, kumuelewa inabidi ukae chini utulie kama mara mbili tatu hivi!!!!!!!!!!!! Japo mapungufu yapo kwa kila mmoja
 
Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,291
1,250
Anaitwa Rev. Masanilo.

Sababu: Huyu ni mzalendo halisi, kama avatar yake inavyovutia na kujawa na kila dalili ya busara ya mzee wa kijiji, ndivyo alivyo ndani ya JF<!-- google_ad_section_end -->

Siyo kweli kama unaangalia jina sawa ila comments/mchango wake mara nyingi unakuwa tata na lugha si nzuri hata kidogo!

Haters will never see the kingdom of Heaven.
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
0
Haters will never see the kingdom of Heaven.

Haha aahaha Rev. Masa bana.

Umenikumbusha jamaa yangu mmoja anapenda kusema "It is easy for a one week baby girl to bear a child than haters to see the Kingdom of God"

Okay, thanks Rev.
 
Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,672
2,000
Anaitwa Rev. Masanilo.

Sababu: Huyu ni mzalendo halisi, kama avatar yake inavyovutia na kujawa na kila dalili ya busara ya mzee wa kijiji, ndivyo alivyo ndani ya JF<!-- google_ad_section_end -->

Siyo kweli kama unaangalia jina sawa ila comments/mchango wake mara nyingi unakuwa tata na lugha si nzuri hata kidogo!

bila shaka atakuwa kwenye list ya juu ya wanaoongoza kukaa lupango ya JF
 
Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,958
2,000
Mkuu Ndiba, hebu tuletee tumuone Preta, alafu tuambie kwa nini unadhani ni funika bovu??????

Mkuu nadhani umeiona hiyo hapo juu.
Shemeji yako mtarajiwa(Preta) ameshaiweka.
Nkiiangaliaga hiyo avatar huwa natamani kama niiguse hivi.
 
St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,401
2,000
avatar32910_1.gif

Mimi huyu ndio aliyeniacha hoi,kwanza kajitambulisha kama mzungu na anaelewa kiswahili utasema mzaramo,na ukisoma comment zake sasa....!!Na jina lake ndio balaa anajiita Ze Dick
 
RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,749
1,250
Yangu definitely ha ha msichakachue hadi kura yangu mwenyewe jamani
 
kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
1,250
avatar32910_1.gif

Mimi huyu ndio aliyeniacha hoi,kwanza kajitambulisha kama mzungu na anaelewa kiswahili utasema mzaramo,na ukisoma comment zake sasa....!!Na jina lake ndio balaa anajiita Ze Dick

right, hata mimi hii nikiiona pamoja na comments zake zinanichekesha sana
 
NewDawnTz

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,668
0
avatar32910_1.gif

Mimi huyu ndio aliyeniacha hoi,kwanza kajitambulisha kama mzungu na anaelewa kiswahili utasema mzaramo,na ukisoma comment zake sasa....!!Na jina lake ndio balaa anajiita Ze Dick

Duu!!!!!!! Aisee huyu namkubali, na moja kwa moja anaingia kwenye list. Jamaaa kakamatia mpini mbaya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom