Vote For Mohamed Dewji (Tanzania) African person of the year

Binafsi, Nimempigia Strive Masiyiwa huyu Mzee ametokea kuni inspire kutokana na kile anachokiwakilisha Facebook. Makala zake hazinichoshi, tofauti na hawa wengine.

Uzalendo aliondoka Nao Nyerere.
 
Katika kumpta African Leadership magazine person of the year 2016 Mtanzania Mohammed Dewji (MO) yuko nafasi nyuma ya rais anayemaliza muda wake wa Ghana.

Rai yangu tuzidi kupiga kura ushindi urudi nyumbani ni heshima kwetu kama taifa kupenda na kathamini vya kwetu, endelea kupiga kura hapa
VOTE FOR THE ALM PERSON OF THE YEAR 2016 | African Leadership Magazine

Nguvu moja
836be262bb0dbcf5f4b81eb573332b2e.jpg

Tanzania moja,nguvu moja
 
Usitufundishe kupindisha ukweli Mkuu,kura hapa hatupigii Mataifa bali tunapigia watu na mtu huyu awe na uwezo na sifa za kuongoza kweli..Ilitosha tu wewe kufikisha taarifa za kuwa kuna shindano linaloendelea halafu wengine tupige kura kulingana na tunavyofahamu sifa za washindani hao katika sifa tajwa..
 
Mbn n kama unapanic sasa mkuu shda nn
 
Back
Top Bottom