Voodoo Africa, Tanzania tumeachwa mbali sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,606
Tunatajwa kila mara kukamata namba kwenye ishu za uchawi ushirikina na mambo ya giza lakini ukweli ni kwamba sisi bado saana, kilichotupaisha ni ishu za albino tuu
Hebu furahisha macho na hizi uone kama Tanzania tunazo
9c4bf484e8a3fc3f21bf4c3c4b22930b.jpg
hawa ndio mabingwa
22de23efdcbf56ee0afafecc8311642b.jpg
huyu mashetani tayari yameshampanda
IMG
watu kazini
5eba0f87257123513a25111585072664.jpg
a476484da74489201143f82bf743b81f.jpg
abedccdb7a3c6b1285233d56d5e3a1b9.jpg
1db400a76a85279fe522d247efb4b8f0.jpg
 
Muweke na doctor manyaunyau akimchinja paka kwa meno tuwapambanishe.
 
Tolii tuu hizo Zaire ilienda na waganga wengi kombe la Dunia kuliko mashabiki uwanjani sikumbuki mwaka gani ila kuna gemu walipigwa 9-0 na waganga wao wakiwa jukwaani..
 
mshana jr, Voodoos si ni uchawi wa asili ya West Africa uliosambaa hadi Caribbean na Latin America?
Nadhani uchawi umegawanyika gawanyika sana na uko wa tofauti tofauti, hamna uchawi wa aina MOJA ndio maana sisi hatumo kwenye nchi zinazo practice voodoos
 
mshana jr, Voodoos si ni uchawi wa asili ya West Africa uliosambaa hadi Caribbean na Latin America?
Nadhani uchawi umegawanyika gawanyika sana na uko wa tofauti tofauti, hamna uchawi wa aina MOJA ndio maana sisi hatumo kwenye nchi zinazo practice voodoos
Sisi wapunga pepo watoa majini wapiga zongo na wazee wa ndele
ee1bedc8841e93f7d6a7cd8b8a035b1b.jpg
 
Inaaminika tanzania hapa Kuna uchawi Sana kumbe ukweli ni kwamba tuko mbali Sana Tumepishana Sana tunapelea Kwa mataifa mengine
 
Mshana Jr nafika sehem nashindwa kukuelewa, why do you keep on following up this spiritual things? There must be an evil spirit behind it
 
Back
Top Bottom