Volleyball wasichana ni noma

uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
5,077
8,913
Niko hapa naangalia USA vs Russia na USA kashinda ila sema kuna mtoto anaitwa Somebody Adams ni kisu(ingawa wote ni visu kinyama)ila huyu kavunja asa!!!!police yeyote akimpiga risasi kwamba kakosea au hajakosea hapo USA nitamsiniper maana siujui kabisa huu mchezo ila ye kasababisha niupende
Naona kwenye huu mchezo kakigezo kauzuri huwa kanahusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom