volkswagen polo ag

AMAFUMU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
221
112
wakuu nataka kuagiza volkswgen polo ag....naipenda inavyoonekana vipi spare zake hasa upatikanaji wake na garama zake....!ni muhimu sana kupata ushauri wenu maake soon naiagiza hii gari!
 
Gar nzur sana kwa uimara sema.bwana kwenye spair ni ishu kuna mwarabu flan pale nyuma ya peackok anaitwa Nathoo ndo anaagizaga sana spair za Polo, audi, pidjoo, na VW lakin ikitokea hana bas majanga mpka zije ila nakushaur kama huna pesa ya mawazo ya kufanyia service gar, ya spair na kupeleka garage za uhakika hiyo gar mkataba mkuu!
 
thanks hamsinij....but just full information kuhusu hizi gari ili nikisitisha niwe nimeeleweshwa kweli.....kiukweli nazipenda muonekano so sijui kuhusu matatizo yake.....just shauri in detail kiongozi nisije ingia mkenge
 
thanks kiongozi nimekusoma....nazani kabla sijaagiza niuonganishe na huyo mwarabu nichonge nae kwanza.....ili nijue kama zinapatikana.....kikubwa nataka ziwe zinapatikana swala la gharama baadae sana!...mossadooo7
 
thanks kiongozi nimekusoma....nazani kabla sijaagiza niuonganishe na huyo mwarabu nichonge nae kwanza.....ili nijue kama zinapatikana.....kikubwa nataka ziwe zinapatikana swala la gharama baadae sana!...mossadooo7
nilinunua Vw polo since 2011 hadi leo natumia ni gari imara sana na very comfortable na kama unapenda mbio ndo zenyewe na zinatulia sana barabara unaweza kata kina hata na 120 haziharibiki hovyo ila ikiharibika kama hela zako ni za mawazo unaweza imba haleluya kuu hamna spare ya bei rahisi spare zake ni ghali ila siku hizi zipo kibao tu zinapatikana sio issue tena
 
Agiza tu mkuu ila chunga usipoteze funguo.jamaa yangu alipoteza akaagiza mpya kwa dola buku jero
 
Nina jamaa yangu aliiagiza alitembelea miezi miwili ikakaa juu ya mawe zaidi ya miezi sita, kisa spare parts. zingatia ushauri hasa wa waliowahi kuwa nazo..
 
Watu wengi wanaagiza magar bila kujua requirements na demand zake umefanya la maana sana kuulizia demand za hii gar.. Kwangu mimi vw Golf GT ni chaguo la kwanza ingawa inafanana sana na polo ni kama mtu mwenye vitz na glanza. Uzur mwingne hizi gar ukifunga spea bas mkataba huku hakuna soko la feki km toyota na nissan ila tu ndo ujipange mkuu service ya maana around laki oil nzur tumia BP yan usiibanie service nzur hii gar cz ni quality machine try to match it with quality service maduka ya spea ni pale kisutu nyuma ya peackock na kuna moja liko mtaa ule ule wa kisutu ile njia kama unakuja Hindu mandal kulia though nadhan yapo na maeneo mengne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom