Volcano

mkurugenzi1

Senior Member
Mar 22, 2009
122
28
Raha ya safari mtu upaki usisahau kitu na maandalizi yachukue muda mrefu mpaka wote mhakikishe mmepaki meridhika wote mnaanza safari to the mountain kilimanjaro na raha ya mlima huu ufike juu uione VOLCANO...
 
wote na kina nani?...hujaeleweka hebu fafanua unataka kuzungumzia nini
 
First lady volcano mfu huishia ugomvi tu kati ya wenza kinacholeta raha ni wote mkifika mkaona volcano hai
 
Safari ni Safari, iwe kwa Miguu, Baiskeli au Punda ili Mradi wote Mfike Salama

Inanikumbusha wimbo

MV Mapenzi, Meli ya Wapendanao, bendera inapepea Manahodha mimi na Wewe
 
Raha ya safari mtu upaki usisahau kitu na maandalizi yachukue muda mrefu mpaka wote mhakikishe mmepaki meridhika wote mnaanza safari to the mountain kilimanjaro na raha ya mlima huu ufike juu uione VOLCANO...

Mijitu mingine bwana inafikiria matusi muda wote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom