Volcano volcano muhimu jamani fikishaneni kwenye kilele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Volcano volcano muhimu jamani fikishaneni kwenye kilele

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Nov 27, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  LEO NAJUA UKO NA MUMEO HUYO ALIEKUVISHA NDOA
  LAKINI NI VYEMA NIKAKUPASHA KIDOGO VOLCANO MUHIMU BABU AIJALISHI MKO KWENYE
  NANE KWA NANE MKIISHIA KIBO MWISHO WA SIKU MMOJA WENU ATARUDI MPAKA MAWENZI
  MUANZE KUKIMBIZANAN MAHAKAMANI

  BINAFSI NAWAOMBEA MUISHI KWA AMANI NA FANAKA HAKUNA SHIDA NA MATATIZO KAMA
  SHIDA YA KUTOFIKISHANA VILELENI NA MBAYA ZAIDI UNAKUTA MMOJA WENU KASHAMALIZIKA
  SAA NYINGI MWENZIO ANASHINDWA KUWA MUWAZI ANAKUWA MKIMYA MWISHO WA SIKU
  ANAJIOULIZA KIMOYO MOYO HAYA MATATIZO YATAISHA LINI

  SOLN SIO KUTOKA NJE YA NDOA MPE MWENZA WAKO UKWELI HNY MI NATAKA NIANZE KILELENI
  KABLA YA KUINGIA KUONA MLIMA KILIMANJARO JAMANI HUYO NDIO MKEO UKIKAA KIMYA NAKWAMBIA
  UTAKUFA NA UKIMWI KAMA UAMINI FANYA UWEZALO..NAKUJUZA HILI SINA UBIA NA MEWATA NATAKA KUKUSAIDIA
  KAMA UNATAKA KUPATA KANSA YA MAPENZO BASI WE KAA KIMYA JIFANYE UNAKOMAA NA NYUMBA NDOGO HUYO WA NJE ANA JPYA MWAYA MKISHINDWA WEKENI PICHA SIKUFICHI TUMI nji YOYOTE HATA MUNGU ANAKUSAIDIA

  KUNA WANAUME WAKIINGIAA TU KITWANDANI GAFLA WANAFREEZE KAMA NDIO WAANAANZA KUKUZWA KUMBE BASI ASHAZOE A AKIUONA MLIMA HUYOOOOOOOOOOOOO SAFARIIIIIIIIIII NDEFU UKIINGIA NAKO UNAMKUTA HOI

  NAKUJUZA JIHADHARI HILI DONDA NDUGU LISIKUKUTE MWAYA NAJUA USHAANZA SIJUI HNYMOONY UKISHINDWA KUITUNZA INAGEUKA HNY SUN WEEEEEEEEEEE UNAANZA KU HJI REGISTER NA JF JAMANI YAMENISHINDA YAMEKUSHINDA WAPI
  HILOOOOO LAKOOOOOOOOOOO MQWAYA KAOGEEEEEEEEEEE MPAKA ULIMALIZEEEEE HUNA BUDI KUJIRUDI

  NA NYIE KAMA MMEPENDANA KWELI KWELI KUNA MABINTI YANI UKIRUDI NYUMBAN TU OOHHHH HNY NATAKA LAKI MOJA NIKANNUNUE NGUO KWA NANIII LAKI UMEIWEKA WEWE KWANI CRDB HIYO AMA AMANA BANK,,LOH ACHA HAKO KAMCHEZO SIO KAZURI ISHI MNACHOPATA USIONE WATU WAMEKUFURAHIA WENGINE AWATAKI KUKUONA UKO NAE UKISHANGAA MWAYA
  UNAKIMBILIA KWA MJOMBA KAMA WACHAGA TUNAAMINIWAJOOMBA NDIO WACHUNGAJI WA FAMILIA KUMALIZA MATATIZO
  RIDHIKA MWAYA MLICHONACHO USIJE FANYA MUMEO AKAIBA NA KAZI AKAACHA UKAMKIMBIA NA MNAANZA RESI KWELI MARA NGOJA NIMPELEKE MTOTO WKA BIBI MARA UNAJUA HNY NTAKUJA WIKI IJAYO KIMOJAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

  LOOOOOOH MIE SIPENDO PDIDY MKONO UNA TBS KAMA YAKIKUKUTA NI PM MWAYA SIRI ZA WATU SITOI NDIO MAISHA YANGU KUKUZA WALIOCHELEWA KUKUZWA NAKWAMBIA


  ALAMSIIIIIIIIIKIIIIIIIIIIIIII
   
Loading...