Voice tracking

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,047
21,519
ni j2 nyingine tunamshukuru Mungu kwakua tu hai. hapa nataka kuongelea swala la msanii huyu anayejiita kivuli. Kuna rafiki yangu alinitumia wimbo huu kwa bluetooth,akiniambia niusikilize ni msanii fulani wa bongo ila yupo States nasikia pia anajihusisha na mieleka locally. kusema kweli humu ndani ametukana sana wasanii wenzake,mitandao ya simu hapa bongo ila kikubwa kilichonigusa ni swala la kusema anamsaka Mh.Rais Kikwete na ametega mabomu vituo vyote vya polisi. Hivi,jeshi la polisi kwa kushirikiana na idara ya usalama wa taifa wameshindwa kumtrack huyu mtu? Hivi yale maujanja kama ya CTU kwenye 24 yakufanya voice analysis hadi kumtrack mtu haiwezekani? Nimekerwa sana na msanii huyu. hebu sikilizeni wenyewe wimbo huu hapa:
Download kivuli - bomu,j.mp3 from Sendspace.com - send big files the easy way
 
Back
Top Bottom