Vodafone Mobile Connect

Mabugo

Member
Oct 12, 2010
21
1
Poleni na majukumu ya kila leo wanajamii. Ninaomba kufahamu jinsi ya ku-unlock modem hii;
Vodafone Mobile Connect
HSDPA USB Stick
Model; K3565-Z
FCC ID:Q78-K3565-Z
ZTE Corporation
IME:356517039971562
Hii ni kutokana na kwamba mahali ninapoishi hivi sasa mtandao wa voda ni mashati na sina uwezo wa kununua modem nyingine.
 
NAMI NAPENDA JUA NAMNA YA KU-UNLOCK........inauzwa vipi hii modem? na matumizi yake yakoje? mi kwa sasa natumia ya zain baada ya zantel ku-mashikolo
 
Nimeinunua kama miezi 2 iliyopita, na ndiyo ninayoitumia mpaka sasahivi.
Ila sema tu mtandao ndio unaonibania.
Kuhusu bei yake niliichukua kwa Tsh.55000/=
 
dowload u-torrent ,install kwenye computer yako then nenda pale sehemu ya search palepale kwenye u-torrent and neno HSDPA USB Stick
Model; K3565-Z fameware then itakupeleka wapi maali pa ku download, lakini make sure that you have to backup all files from your USB stick, cause baadae unaweza tena kutumia vodacom.

enjoy it :bowl::hippie:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom