kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,109
Jana kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania ilizindua Huduma yake ya ongea deilee.
Leo naona wameamua kuingia mitaani katika jiji zima la Dar es Salaam. Wakiwa wanatoka katika ofisi za makao makuu yao pale Mlimani city walitoka kwa maanadamano yakiongozwa na bendi ya jeshi la Magereza. Mbele kukiwa na pikipiki ya askari Wa usalama barabarani.
Hongera Vodacom kwa kuanzisha Huduma mpya.
Sikuweza kupiga picha kwa kuwa nilipishana nao huo msafara nikiwa kwenye gari.