Wadau hivi hii offer wana limit speed au full kujiachia bila kikomo?
Mkuu are you spy?
Hamna kitu kama hiyo mkuu
Nina modem ya Airtel haichakachuliki sasa nataka kuhamia voda hivyo nilitaka kujua kama naweza shusha movie kama gb 1 hivi kwa usiku mmoja au speed ndio kichefuchefu.......siunajua tena vitu vya dezo dezo restrictions kibao
muda si mrefu watasitisha hii ofa baada ya kupata mabundi ya kutosha yanayokesha usiku kudownlodoad
Endangered, uploads za GB kaa.. unafanyia nn?
nilipokua mwanza, usiku m1 nashusha minimum 8GB, nmeingia Dar 2 kwishney hata Gig1 nahangaika.