Vodacom wanatoa wapi kiburi cha kupingana na Serikali? Je, ingekua kauli ya Magufuli wangefanya hivyo?

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,417
Kila nikiingia kwenye menyu ya Vodacom bado kuna usanii wameufanya yani wamecheza na akili zetu.

Hawakurudisha vifurushi vyao kama ilivyo mwanzo je, ingekua agizo kutoka kwa JPM wangeendelea kutufanyia kiburi

Hapa ndio naona umuhimu wakua na Rais m'babee JMP legacy yako itaendelea kuishii.

Sikuwahi kukuandika JMP kwamazuli ila kwenye hili la Vodacom acha nikukumbuke. Mama Samia anakosa ile Spirit yakuongea jambo nawahusika kuingia mchecheto.

Cc. vodacom mnatawa kutulipa 5% kila mteja alienunua bundle kipindi mlichopewa akizo mshushe bei, tutawaburuza mahakamani.
 
Kauli ya kusitisha ingejuwa imemaanishwa wangeshakuwa wameteleza, usiwaamini sana wanasiasa anachoongea mbele ya camera kinaweza sicho anachomaanisha. Naamini mitandao iliyotekeleza wamefanya hivyo kuvuta wateja. Tigo na voda bado hawa ni wajeuri wanaringa.
 
Tigo wamejitahidi kufanya backups lakini Vodacom wanataka kutuvimbia kifua
 
Tigo wamejitahidi kufanya backups lakini Vodacom wanataka kutuvimbia kifua
Labda wameona bado watu mnaendelea kununua na mapato yakapanda zaidi wakaiendea serikali na kuwaambia mbona wateja wanaendelea kununua tu na nyie mtapata kukusanya kodi kubwa! So wakakubaliana bei hiyo iendelee. Mkiacha kununu hivyo vifurushi ndo wanaweza kupunguza bei mimi niliacha tangu walipotangaza kupandisha bei.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom