Vodacom wana nipige tafu, airtel wana timiza, tigo mna nini!

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,924
2,000
Wakuu
Nimekua ni mdau wa mikopo midogo midogo inayotolewa na hii mitandao ya jamii kwa voda naipata kupitia nipige tafu

Airtel naipata kwa kutumia timiza

Vipi kwa Tigo sijajua na sijapata kusikia kama wana huduma ya namna hii kwa tigo pesa

Kwanini tigo tu ndio hawana huduma hii
 

binjo

JF-Expert Member
Feb 22, 2016
2,116
2,000
Na hii mitambo au mifereji wanayochimba Voda kwa hapa Dar ina tofauti gani na mitambo ya minara?WAKUU
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom