MR. DRY
JF-Expert Member
- Oct 5, 2011
- 637
- 122
Hii siyo kweli kwani Mobitel (now Tigo) walikuja Tanzania kabla ya hao Tritel. Tritel walikuja baadaye na ndo wa kwanza kuja na simu aina ya GSM na kuongeza ushindani kwa Mobitel kwani kipindi hicho Mobitel walikuwa wanalipisha hata kupokea simu maana walikuwa peke yao kwenye soko la simu za mikononi. Baadaye Tritel wakafilisika na kufungasha virango vyao.
mkuu kama sijakosea walichukuliwa na CELTEL ya kwanza yenye rangi nyeupe na nembo ya KIMNARA wakitumia kauli mbiu TUONGEE!.......mjini shule!