VODACOM wajue, kupoteza mteja mmoja ni kupoteza mapato ya wateja 100. The true cost of losing one customer

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
The True cost of losing a customer.

One negative customer experience may seem like a drop in the ocean of all your customer interactions, but it’s never that simple. Losing a customer isn’t as simple as losing a single sale. Consider these statistics from a recent survey from NewVoiceMedia:

After experiencing poor customer service:

• 37% of customers would change their supplier
• 28% would post a negative online review
• 26% would complain via social media
• 13% would tell friends/colleagues
10% would inform the media

Huu ni mfano tu. Mimi ni mfanyabiashara, phone book yangu ina contacts 150, kati yao 110 tunawasiliana kupitia voda-voda.

Kwa siku huwa napokea simu kati ya 30-40 kwenye namba yangu ya voda na hutumia wastani wa dakika 1-2 kuongea = dk 80 kwa siku.

Huwa natumia laini ya voda kupiga voda -voda na mitandao mingine kwa wastani wa calls 15-20 kwa siku @ dk 2 = dk 40 kwa siku.

Athari ya laini moja ya Voda iwapo itafungwa au kujitoa.

1. Watu zaidi ya 110 walio kwenye contacts yangu ambao wangetumia vocha za Vodacom watakosa mawasilino yangu.
2. Zaidi ya dk.120 (80+40) kwa siku sawa na masaa 60 kwa mwezi yapotea.
3. Bando la Data, kwa wastani natumia 150MB kwa siku = 4.5GB kwa mwezi hazitatumika.
4. M Pesa transactions kati yangu na wateja wangu haitafanyika, faida ya mikopo ya M PAWA na SONGESHA nk. haitapatikana.

Hasara hii inasababishwa na mteja mmoja, VODACOM ina wateja takribani milioni 14, let say 10% tu ya wateja wa Voda wanajitoa, 10% yake ni 1.4M.

VODACOM kwa mwezi watapoteza,

1. Airtime: Dk. 3,600 x 1.4m = dk. 5,040m, ukizidisha gharama ya sh.5@sek= sh.300@dk, kampuni itapoteza mapato ya Tsh.1.5t kwa mwezi.

2. DATA (MB): 4.5 X 1.4m = 6.3mGB zitapotea kwa mwezi. Gharama ya kuperuzi ni sh.0.26@bt, kampuni itapoteza tsh.1.6t kwa mwezi.
3. Hasara ya transactions za M Pesa, M PAWA, Nipige Tafu na Songesha kwa wateja 1.4m itakuwa kubwa zaidi.
4. Missed calls: 40 + 20 = 60 kwa siku (kupiga na kupigiwa), kwa mwezi sawa na 1,800 x 1.4m = 2,520m (2.52b) missed calls, watu watakuwa disappointed na kusababisha wengine kubadili mtandao.

Hii ndiyo nguvu ya kumpoteza mteja mmoja kwenye biashara, wataalamu wanasema gharama ya kumrudisha ni mara sita zaidi ya kumbakisha.
 
Siyo fresh wanachofanya Voda
tapatalk_1564504559643.jpeg
 
Namalizia hela niliyonunua bando. Baada ya hapo bye bye voda.
 
Hii ndiyo nguvu ya kumpoteza mteja mmoja kwenye biashara, wataalamu wanasema gharama ya kumrudisha ni mara sita zaidi ya kumbakisha.
Hesabu uchwara hizo
Mtu makini hawezi kujitoa voda kisa chadema wamesema
Ni watu kama wewe tu unaweka vocha ya 500 kwa miezi mitatu ndio utajitoa,kwa sababu huna cha kupoteza
Huyo Lema na Msigwa wanachuuza watu tu,wanajitoa voda,lakini watapokea simu zitakazopigwa na watu wa voda!
Wanajitoa voda emails zao ziko powered na vodacom!
Hakuna mtandao ambao hauwezi kudukuliwa wote wapo chini ya TCRA
 
mimi nishatupa li laini la wasaliti na wauaji.
 
Unakimbia vodacom unaenda wapi?
80% ya internet back borne ya nchi iko powered na vodacom!
Tunawaangalia tu mnavyovuka mto mara kwa kufuata mkumbo
Je ukipigiwa simu au kutumiwa sms na bosi au ndugu au rafiki mwenye line ya voda utaacha kupokea?
Vodacom ni kama maji ya kunywa
 
vodacom Tanzania wamekosa sifa ya kufanya biashara na wateja.....udukuaji wa line za wateja sio kitu kidogo kama ambavyo baadhi ya watu wanavyochukulia.
Udukuaji wa siri za wateja ni UUAJI,UTEKAJI,MAFARAKANO,UJINGA NA KILA AINA UPUMBAVU.
 
Unakimbia vodacom unaenda wapi?
80% ya internet back borne ya nchi iko powered na vodacom!
Tunawaangalia tu mnavyovuka mto mara kwa kufuata mkumbo
Je ukipigiwa simu au kutumiwa sms na bosi au ndugu au rafiki utaacha kupokea?
Vodacom ni kama maji ya kunywa
Acha urongo mkuu!!
 
Hesabu uchwara hizo
Mtu makini hawezi kujitoa voda kisa chadema wamesema
Ni watu kama wewe tu unaweka vocha ya 500 kwa miezi mitatu ndio utajitoa,kwa sababu huna cha kupoteza
Huyo Lema na Msigwa wanachuuza watu tu,wanajitoa voda,lakini watapokea simu zitakazopigwa na watu wa voda!
Wanajitoa voda emails zao ziko powered na vodacom!
Hakuna mtandao ambao hauwezi kudukuliwa wote wapo chini ya TCRA
Inawezekana hata hesabu hujui na masomo ya biashara ulikimbia.
 
Kama ikithibitika wamefanya hayo yanosemwa, There is no doubt that this will have a big impact on them, and they will lose a lot of customers
 
Back
Top Bottom