Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,697
- 8,843
Unakimbia vodacom unaenda wapi?
80% ya internet back borne ya nchi iko powered na vodacom!
Tunawaangalia tu mnavyovuka mto mara kwa kufuata mkumbo
Je ukipigiwa simu au kutumiwa sms na bosi au ndugu au rafiki mwenye line ya voda utaacha kupokea?
Vodacom ni kama maji ya kunywa
wacha upotoshaji, bora ungesema TTCL ningekuelewa, hawan kitu zaidi ya back borne yao wenyewe walio tengeneza.