Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,219
- 1,784
Habari, Nimeingia muda huu kununua Wajanja Night nikakuta kuna kifurushi kimeongezeka. Unalipia Tsh 1000 na unajipatia unlimited internet access. Sijapata kufahamu hiki kifurushi ni exclusive kwa muda gani.