Vodacom tumechoshwa na sms zenu za Bongo Milion

Ipo namba nadhani ukibonyeza hayo matangazo yote hupati ila kuna muda tena matangazo yanaanza kwa fujo..
 
Mkuu kwanini unapata shida? Piga block hao wababaishaji hadi akili ziwakae sawa.
Upande wangu sipati hizo shida sababu napiga block kila namba Inayotuma upuuzi so now nipo safe.


Screenshot_20210503-201032.jpg
 
Na hii tabia ukipiga simu unasikiliza kwanza matangazo yao ni kero kubwa sana aisee... Voda acheni ujinga nawaambia mnatukera
 
Back
Top Bottom