Vodacom, Tigo tuwaite Wezi au Wanyang'anyi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom, Tigo tuwaite Wezi au Wanyang'anyi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by tartoo, Sep 10, 2012.

 1. tartoo

  tartoo Senior Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya makampuni ya simu have very interesting internet packages and when you get enrolled they screw you hard big time!!

  How?

  Mfano; ukinunua tigo TShs 450 package a day make sure salio lako ni zero isibaki hata senti OTHERWISE;

  Ukimaliza hiyo package ya siku [50MB] kabla siku haijaisha; Hawatakutaarifu ng'oo kwamba package imeisha (they roll you back to normal very expensive charges without your consent- which is unfair [wizi]) ambapo kama una salio lolote katika simu yako wataendelea kuitafuna big time mpaka iishe yote bila wewe kujua.Wakishamaliza ndio wanasepa na internet yao [wewe huna lolote so huna mpango].

  Vodacom hivyo hivyo

  Sina experiance na airtel

  Huu kama si Wizi/Unyanganyi ni nini?
   
 2. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nime-experience huu ufisadi mtandao wa tiGO.
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mimi pia Tigo wameniibia sana!! Nataka kuhamia TTCL sijui wakoje wao?
   
 4. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Vigezo na Masharti Kuzingatiwa
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Sep 10, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hawa si wezi tu bali majambazi wanaoshirikiana na watalawa wetu majambazi kutumaliza. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania hakuna hata kampuni moja ya simu inayotoa huduma zaidi ya kufanya uchafu kama ule wa Richmond IPTL na majambazi wengine/ Makampuni haya licha ya kutoza viwango vikubwa yanatoa huduma dhaifu na za kishikaji. Hivi mlitegemea wahindi wawe waminifu kwenye biashara especially kwenye nchi inayoongozwa kifisadi?
   
 6. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  matapeli
   
 7. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #7
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  ni kote tu Voda tiGo hata Airtel ukimakiza Bundle zao na umenogewa wao wanakata airtime money yako
  unachotakiwa wewe nunua Bundle hiyo ndogo ya Tigo ya 450/= kwa siku kwa kupiga *148*01# ukimaliza lazima watakutumia sms ya kuwa bundle ya kudownlod picha na musiki imekaribia kuisha
  Ila km umeweka Extreme ya 450/ na wakaktupa 50Mb za bure zikiisha na hela ikiisha wanaingia ya airtime ya kawaida wanafyeka bila taarifa
  Kweli hakuna huduma nafuu km ya tiGo
  BB ni shilingi 7,000/= za chini kabisa ni 3,000/=
   
Loading...