Vodacom tanzania wabadili rangi toka blue kwenda nyekundu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodacom tanzania wabadili rangi toka blue kwenda nyekundu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by CPA, Apr 3, 2011.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Leo vodacom wanezindua rangi mpya, wamebadili kutoka rangi ya blue kwenda nyekundu. Source chanel ten.
  Ili tukio mi sijaelewa linaamanisha nini? Kwanin wanabadilisha rangi ila nembo imebaki ileile, ndio njia ya kushindana ya airtel au kunakitu kingine?
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Vodafone ya UK ambayo pia ni share holder wa Vodacom South Africa mwaka jana amenunu hisa zaidi toka vodacom SA. Vodacom Tanzania ni mali ya vodacom south africa.so automaticaly ata apa Tz vodafone south africa wana hisa nyingi so wana ruhusa ya kufanya chochote watakacho.
  In short. No Vodacom. Any more now ni VODAFONE. Wafanyakzi Voda wamepunguzwa na vodashop zinauzwa na mengine mengi yanakuja
   
 3. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  thanks, nilijiuliza sana ckupata picha, sasa nimeanza kupata picha.
   
 4. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  thanks, nilijiuliza sana ckupata picha, sasa nimeanza kupata picha. Kwahiyo sasa vodafone amekuwa controlling-shareholder na vodacom amekuwa subsidiary? Du kazi kweli.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Yah najua vodafone uk ni red in color ila si tofauti yake na airtel itakuwa hakuna ki-rangi?
   
 6. Kituku

  Kituku JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mizengwe ya kibiashara kweli hii, sasa hapa ndo nini? Airtel red nao waweke red? Ovyoooooo
   
 7. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kwangu mimi kama mtumiaji hainipi shida ... Iwe red, blue, green, orange, pink etc, ninachotaka ni kuwa hewani. shida itakuwa kwao kuhusu kujitangaza.
   
 8. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi nadhani wameshtukia lile tangazo la Airtel linaloonyesha watu wengi wanahami gari nyekundu kutoka gari dogo la blue. Inaonekana red inalipaa!!!
   
 9. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  are you buying the color or the product/service.
  pepsi na coke zina rangi gani????
   
 10. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nilistuka!!! lbd wanataka kufanya yale mambo ya kukwepa ushuru!!
   
 11. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Watanzania tumeshazoea kufanyiwa mazingaombwe. Naamini kwamba na hili ni mojawapo!
   
 12. L

  Leornado JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Inwezekana imebadilishwa na kuwa vodafone, manake vodafone wao nembo yao red. Viwango vyao kimataifa huwa ni ghali sana sijui kwa bongo itakuwaje.

  [​IMG]
   
 13. L

  Leornado JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  over my foot airtel kupiku voda hata siku moja, kati ya mikakati ya vodacom mpya ni kuleta technolojia mpya bongo kwa bei rahisi. ipads ambazo ulaya zinauzwa dola 495 vodacom watafanya special order kiwandani na mkakati hapa iuzwe si zaidi ya dola 150 smartphones nazo zitaletwa za kumwaga. rangi wala si kitu cha ajabu mbona wakati voda wanatumia blue na tigo walitumia blue? priorities kubwa za vodacom ni mpesa, data, wimax na voice calls si priority saana sababu mtandao uko bomba tayari na tarrifs ziko chini saana hence profit yake ni ndogo. wao wata base saana na new technology mfano kuna feature inakuja kwenye facebook kwa watumiaji wa ipads unapiga simu free international calls na locals sasa wateja wako wakiwa na ipads wanatumia internet yako lkn wakifaidika na huduma ya bure ya simu bado via internet una generate income
   
 15. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  mkuu, ufanya kazi voda nini? Hebu punguzeni gharama za simu, muwe kama airtel, zantel
   
 16. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kodi imelipwa au ndo yaleyale
   
Loading...