Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Vodacom mmekua majambazi wakubwa sana kwenye sector ya Mawasiliano...

1. Mlikua mnatoa huduma ya dakika 450 mitandao yote kwa Tshs 10,000 kwa mwezi lakini sasa hivi mmetoa... Mimi ni mteja wenu tangu mwaka 2007... Sasa natupa line narudi zangu kule pa mwanzo...

2. Mnajifanya kugawa gawio,kumbe ni wizi mtupu... Yaan mtu anakua na tuzo point nyingi,akitaka kuzitoa anapewa Tshs 450 na hapo unapewa sharti ili zitoke,lazima uwe na Tshs 1000 huu ni wizi na utapeli wa hali ya juu sana...

3. Huko kwenye bando ndiyo maumivu yakutosha... Na mkome kua mnapiga simu zakuuliza maswali yenu kuhusu huduma za voda,mnajiita retantions sijui.. Mkome kabisa..
 
Mkuu punguza jazba .huu ni muda wa kusifia
 
Kweli afadhali umewambia, jamaa hawa ni shida ndiyo maana mimi nimewakimbia kimya kimya.
 
Vodacom malalamiko yangu ni haya.

Tarehe 11 Julay nilienda kusajili laini yangu kwa finger print pale Ubungo Plaza, nilivofika pale nikakutana na msajili akaniambia nitaje namba ya simu kisha nitaje namba ya kitambulisho changu cha uraia, nikawa nimefanya hivyo.

Baada ya hapo tukasubiri dakika kadhaa akaniambia nikae kwenye kiti nisubiri mtandao unasumbua, akaja mwingine akasajili muda huo huo akaambiwa tayari akaondoka, mimi nikaendelea kusubiri.

Baadaye akaniita tena akasema ngoja turudie tena, nikamtajia namba ya simu na ya kitambulisho akasema tayari nenda.

Sasa taarifa yangu ni hii, kuna mchezo umejitokeza kwa hao wasajili wa kusajili namba mbili tofauti kwa kutumia kitambulisho hicho hicho kimoja au cha mtu mmoja bila yeye kujua, wakati yeye mwenye kitambulisho akiwa na laini moja.

USHAURI WANGU KWENU.
Mkishamaliza hili zoezi la muda wa kusajili laini ninyi watu wa mitandao kaeni na TCRA ili mshauriane kua uwepo uhakiki wa laini zilizo sajiliwa kila baada ya muda fulani.

Uhakiki wake utakua hivi, mtu anakuja na Kitambulisho chake cha uraia anahakiki laini yake na kama ninyi watu wa mitandao mkiangalia kwenye systeam yenu mkakuta kuna laini mbili zimesajiliwa kwa kitambulisho hicho ile nyingine inabidi muifungie.
 
Usisubiri mpaka siku taarifa zako zikaja kudukuliwa na wasiojulikana mkuu.
 
Vodacom mmekua majambazi wakubwa sana kwenye sector ya Mawasiliano...

1. Mlikua mnatoa huduma ya dakika 450 mitandao yote kwa Tshs 10,000 kwa mwezi lakini sasa hivi mmetoa... Mimi ni mteja wenu tangu mwaka 2007... Sasa natupa line narudi zangu kule pa mwanzo...

2. Mnajifanya kugawa gawio,kumbe ni wizi mtupu... Yaan mtu anakua na tuzo point nyingi,akitaka kuzitoa anapewa Tshs 450 na hapo unapewa sharti ili zitoke,lazima uwe na Tshs 1000 huu ni wizi na utapeli wa hali ya juu sana...

3. Huko kwenye bando ndiyo maumivu yakutosha... Na mkome kua mnapiga simu zakuuliza maswali yenu kuhusu huduma za voda,mnajiita retantions sijui.. Mkome kabisa..
 
voda mnakela kila kupiga simu mnatoa ujumbe wa kusajili kwa alama za vidole wengi wetu hatujapata vitambulisho vya nida sasa inakuwa kelo kuweni kama mitandao mingine
 
Back
Top Bottom