PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,714
- 1,821
Kwa matumiz ya kusurf social networks na webpages ndogo ndogo ipo vizur.. Ila sio nzur kwa kustream youtube and other videos sitesPoleni wakuu je halo tel nasikia inatamba
Kwa matumiz ya kusurf social networks na webpages ndogo ndogo ipo vizur.. Ila sio nzur kwa kustream youtube and other videos sitesPoleni wakuu je halo tel nasikia inatamba
Nmerud huku juz bro kaniambia ipo leo ndo nmeamua kuweka bandle.Mh tigo wana 4g kweli huku songea? Maana hata 3g yao ni kama 2g
Mh tigo wana 4g kweli huku songea? Maana hata 3g yao ni kama 2g
Vipi speed yake.. Jaribu kuchek kama itaplay video za youtube bila kuganda ganda
Kwa akili zangu za kuzuia zuia maombi nilipoona neno HAUPANDI nikajua ni lile neno JOGOO WANGU HAPANDI MTUNGI kumbe ni haupandi 3GKwa kwel huu mtandao wa vodacom kuna muda unakera sana haiwezekan kwa muda wa siku 2 intaneti inakuwa ovyo kabisaa
Mnajua wengine kazi zetu zinategemea internet sasa mnapodhoofisha huduma yenu mnajua ni hasara kiasi gan tunayopata?
Jana nilinunua kifurushi cha masaa 24 ambacho leo ndio kitaisha lakin hadi kinaelekea kuisha nadhan hata mb 200 sijatumia... Yan hata kufungua nyuz za JF inakuwa ngumu
Ningependa kuyaomba makampuni ya simu endapo kuna itirafu au matengenezo yoyote ya mitambo yenu muwe mnatupa taarifa mapema wateja wenu ili tuchukue hatua mbadala
Mkuu, pole kwa kadhia. Nenda ofisi ya huduma kwa wateja au wapigie mpesa wakushughulikie...Uko mkoani mkuu?
Mbona inafanya kazi poa tu hapa Dar. Wasumbue tu hao Vodacom wakurudishie au wakamilishe muamala.
Mkuu ni inbox namba yako uliofanya muamala i will feedback letter.habar za mda huu,mim nimtumiajii wa vodacom mpesa,nimelipia kifurushi cha dstv kupitia mpesa toka juz lkn mpka sasa dstv wanasema hawajapata pesa,na nikipig huduma kwa wateja vodacom wanambia wanashughulikia lkn siku tatu zimepitaa,kamaaa kuna kuna mtu wa voda au mwenye msaada anisaidie asante
Siyo Dstv tu hata ukinunua umeme hawaletimpesa mnazingua,nimenunu kifurushii cha dstv tokaa juz lkn Amja niunganishia wala pesa yangu amrudishiii
Wapigie wako faster sana kutatua matatizo ya wateja.Jamani Kampuni ya Vodacom mbona wananchi tunashindwa kuwaelewa haiwezekani leo inakaribia wiki moja mtandao wenu wa mawasiliano ni mbovu especially kanda ya ziwa simu hazitoki , data nazo ni shida, m pesa nayo ndiyo usiseme unatoa hela asubuhi inakuja message usiku hivi tatizo ni nini mtujulishe tujue hata kama mnajaribu kutatua tatizo. kwa sababu hii sasa ni too much....